Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Nitamzalia kila mwaka.anapenda watoto kuliko mimi !kale kaharuf ka uchanga plus poda za kitoto uwii had unamuonea huruma !anabusu tu watoto !sema upampula dah

Asante kaka shemeji.Hahaha asante.
Bado natafakari mtu anaweza kumuita mama watoto bata. Dahhh
Poleni wanawake