Wanawake acheni kujisahau

Wanawake acheni kujisahau

Ukiona hivyo shida iko kwa mwanaume, ukijua kudeal na wanawake wala atakuwa vile unavyotaka. Mi baada ya kujifungua kweli niliweka mapenzi kwa watoto lakini baada ya kuona Mme kaongeza mapenzi kwangu nikaanza kujifikiria mara mbili. Na nilinenepa kwa kweli alichofanya ni kuwahi arudi home, kaninunulia tracksuit na raba, na tracksuit yake sare share wenyewe jioni ananishika mkono tunafanya jogging, baadae akaanza kuniambia nimsindikize gym basi nikaanza kujiangalia hmm inabidi nipungue but hakuwahi niambia nimenenepa ila hivyo vitendo vyake nilijua tu natakiwa kupungua basi ikabidi na Mimi nikazane na mazoezi na diet mpk nazeeka sasa na weight yangu ya kisichana. Kuhusu watoto alinisaidia sana hata kwa kubadilisha nepi au kunipa muda nipumzike abaki na mtoto au nioge abaki anacheza nao. So Mara nyingi kulea mtoto si kazi rahisi mama anaweza jisahau but akiipata support ya Mme utaona mama anabadilika.
Jamani naomba niwe mke mwenza.

MBITIYAZA baki na pampula wako nishapata mume mwingine.
 
Usigune bwana, nanyi muwe mnawasaidia wake zenu, kuwa mama sio mchezo, unatumika kweli kweli. Alafu mwisho mtu anakuja kukuita bata, nawe ulooa bata unakuwa kitu gani!!
 
Jamani naomba niwe mke mwenza.

MBITIYAZA baki na pampula wako nishapata mume mwingine.

ahhahaha acha tamaa espy wewe jaman khaa !bas huyu dada na mume wangu pia yuko hvyo !mie nikijifungua huwa ananisaidia sana sana tu !yaan mume wangu huez amni anajua kufunga nepi hizi kisasa sio kizaman unalikunja tu linepi !anabadilisha pampers na anaogesha (ingawa muda huo anakuwa bwax teh ) baki bwana wee !huyu kimoja tu hutamwelewa !

WIVU WA KITOTO
 
Hahaaaa. Eti kama bata. Ukiona hivyo jua na wewe ni mchafu kwa sababu kama ungekuwa unapenda usafi ungeshamwambia abadilike na sio kuja kulalama huku.

Mwambie tu mkuu hakuna gharama yeyote na huenda ikawa hajui kama ni mchafu ye anajionea sawa.
Inabidi tuanzishe jando mfogo wangu tuwafunde hawa wanaume maana hamna namna.

Hivi mtu mwanzo alikuwa msafi ghafla kawa mchafu, it seems kaelemewa. Basi hata amtafutie msaada au amsaidie, yeye yuko busy kuhesabu mabaya ya mwenzie!!
 
Hahaaa. Kweli kabisa my dada huenda ikasaidia.
 
ahhahaha acha tamaa espy wewe jaman khaa !bas huyu dada na mume wangu pia yuko hvyo !mie nikijifungua huwa ananisaidia sana sana tu !yaan mume wangu huez amni anajua kufunga nepi hizi kisasa sio kizaman unalikunja tu linepi !anabadilisha pampers na anaogesha (ingawa muda huo anakuwa bwax teh ) baki bwana wee !huyu kimoja tu hutamwelewa !

WIVU WA KITOTO
Ooooh kumbe nae anatusaidia isipokuwa hilo la upampula tu!! Basi nitamvumilia.
 
Kuna namna nyingi za kuongea na mtu, akikuta uchafu afanye usafi yeye then msg inakuwa sent.
Yeah atleast that's good one,akija akiona atajifunza na kubadilika
 
Huwa wanasema waume wazuri wako kwa wake zao.

Ndio hapo unaweza mchukua wewe na akawa mbaya kwako, jua tu kila MTU yuko na ubavu challenge ni kupata the right ubavu.
 
Ooooh kumbe nae anatusaidia isipokuwa hilo la upampula tu!! Basi nitamvumilia.

anapenda watoto kuliko mimi !kale kaharuf ka uchanga plus poda za kitoto uwii had unamuonea huruma !anabusu tu watoto !sema upampula dah
 
Shikamoo kaka shemeji.
Hahaha asante.
Usigune bwana, nanyi muwe mnawasaidia wake zenu, kuwa mama sio mchezo, unatumika kweli kweli. Alafu mwisho mtu anakuja kukuita bata, nawe ulooa bata unakuwa kitu gani!!
Bado natafakari mtu anaweza kumuita mama watoto bata. Dahhh

Poleni wanawake
 
Back
Top Bottom