Wanawake acheni kujisahau

Wanawake acheni kujisahau

Ni vema ukapenda kujua chanzo cha huo uchafu uliozuka ni nini hasa. Je, ni kuzidiwa na majukumu ya kazi za nyumbani na kulea mtoto? Je, ni uvivu tu? Je, ni tabia yake ya asili aliyoificha hapo awali?
Baada ya kujiridhisha fanya juhudi za kuibadili hali iwe ya usafi. Anza kwa kuongea naye, msaidie kazi. Kuwa karibu naye na umueleze kwa staha namna ya kudumisha usafi pale alipojisahau.
Mwisho, kuoa mke haina maana umeleta kijakazi au mtambo wa kufanya mambo yakufurahishayo tu. Halafu, yule ni binadamu. Lazima atakuwa na upungufu wake tu. Hata hivyo, kuishi na mke kunataka utumie akili zaidi ya kuunda ndege.
 
Unajua kuna watu wengine feels bad akimwona mtu amejiskia vibaya...
Ikiwa unampenda mtu kwa dhati kujisikia vibaya sio tatizo hasa ikiwa kile unachomwambia ni cha kumbadilisha yeye na kina manufaa kwake sidhani kama kuna shida mkuu

Wacha ajisikie vibaya ila mwisho wa siku lazima atabadilika tu.
 
Ikiwa unampenda mtu kwa dhati kujisikia vibaya sio tatizo hasa ikiwa kile unachomwambia ni cha kumbadilisha yeye na kina manufaa kwake sidhani kama kuna shida mkuu

Wacha ajisikie vibaya ila mwisho wa siku lazima atabadilika tu.
Kweli umenena mkuu...

Ur good kwenye haya mambo emmyta.
 
Hii tabia ya wanawake ukishamuoa na mkapata watoto basi wanajisahau na kuanza kuwa wachafu kama bata hii tabia haivumiliki!nukta.
Huenda sababu ya huo uchafu ni wewe mwanaume.

Hujui kama mwanaume ni Boss wa Familia?
 
Kama mkeo mchafu mwambie direct sio kuja kuandika andika jf,inahusu? Hivi karne hii kuna uchafu kweli kwa mwanamke???basi hawajielewi
 
Mkuu,mwambie mkeo kuhusu kero hiyo,ni ukwel hili suala lipo nam ni mhanga,unarudi kutoka kwenye majukumu ya kimaisha,unakuta vyombo havijaoshwa,sebule chafu,nguo nazo chafu,yeye mwenyewe mchafu,hadi shuka umwambie abadilishe au azifue,na anachokifanya hakionekani,tangu asubuhi alivyoamka alichokifanya hakionekani,nikagundua ni uvivu,na mimi napenda sana shuka nyeupe,nakumbuka siku za kwanza kwanza aliniulizia,kwanini? napenda shuka nyeupe,nikamjibu hazifichi uchafu na zinamlazimisha Mtu awe msafi hata kama hataki,kwa hiyo nilipogundua ni mvivu nikawa namsema kiutani lakini ujumbe unafika,wakati mwingine nilikuwa nafanya kwa vitendo kumuonesha nami nnaweza,hadi akabadilika mpaka sasa ni msafi,hivyo ni vizur kumsema,sababu ni nadra kwenye ndoa wote kuwa wasafi,lazima mmoja atakuwa mchafu,hivyo yule msafi atamrekebisha mwenzake,wa kiume au wa kike,hivyo mkuu nakushauri chukua nafas yako mapema,kabla mambo hayajaharibika.
 
Hii tabia ya wanawake ukishamuoa na mkapata watoto basi wanajisahau na kuanza kuwa wachafu kama bata hii tabia haivumiliki!nukta.
Ukiona mwanamke wa dizaini hio hajitambui mwanamke hurka hua haachi hurka yake hata iweje kama ni msafi ataendelea kua msafi kama ni mchafu ataendelea kua mchafu, usibumbazwe na tabia za kuiga au kuact ukasahau asili ya MTU haipotei
 
Back
Top Bottom