Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 197
- 405
Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
Huyo anaonesha upendo wa hali ya juuKuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.