Wanawake acheni hii tabia

Wanawake acheni hii tabia

Mkuu... Mimi naona si kweli saana labda kwa upande wako..... 'yaani ukishamvua mwanamke nguo thaman yake inaisha hapana mkuu... Ukiona hivo ujue ulimtaman huyo mwanamke na hukumpenda
 
hyo ilikua mwaka jana , leta mrejesho wa mxisho wa mwaka huu bado mnakutana mlimani cty
 
Kuna hii tabia unakuta mwanaume umepata pesa lakini mara tu baada ya kupata pesa unampigia mpenzi wako ili muonane uweze kumpatia na yeye pesa ya matumizi lakini shida inakuja pale anapogundua tu umepata pesa atakuambia mkutane sehemu fulani mfano Mlimani City au sehemu yoyote nyingine ambayo watu wanafanya manunuzi ya vitu mbalimbali.

Mkishakutana tu kabla hata hujamkabidhi pesa ataanza mara oooh baby ninunulie hiki mara ninunulie kile kiasi kwamba kama ulipanga kumpa laki tatu karibu laki mbili yote itaishia kwenye kulipia manunuzi ya vitu alivyochukua huku akiwa na matarajio kwamba bado kuna fungu ambalo unataka umpatie.

Binafsi ninachofanyaga nikikutana na tukio kama hili huwa nafanya hivi, kama nilipanga kukupa laki tatu na umeshatumia laki mbili nakumalizia tu laki moja iliyobaki ili usiniharibie bajeti zangu.Haiwezekani kabla hatujakutana uanze kuniongezea bajeti zingine zisizo na kichwa wala miguu.

Wanawake jitahidini kubadilika otherwise mtabadili mabwana kila uchao.Sisi wanaume thamani yenu huwaga tunaiona pale ambapo bado tunakua hatujafanikiwa kuwavua nguo zenu za ndani ila tukishawavua tu mnakua wakawaida sana na tunakua hatuna tena chakupoteza hivyo ni jukumu lenu kuwa waangarifu na tabia zenu.

Povu ruksa
Hivyo ndiyo inatakiwa, akifanya manunuzi hela yote uliyopanga kumpatia mwisho wa siku unampa nauli tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo hakupendi mkuu na hana ndoto nawewe naongea hivyo nikiwa nina uzoefu na hawa mamanzi, halafu ukimpiga chini atakusumbua mpaka utaona huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom