Kutana na triple distilled mkuu🙆♀️ni shida.nikijisikiaga kunywa hii miongozo basi huyu masta anakuwaga wa kwanza.
Kuna huyu mnyama pia.huyu jamaa ni mgumu kiaina ila huwa ninampenda Kwa sababu ya harufu😋😋😋
Demu akishakua mlevi tu huwa kuna bolt zinalegea kichwani, huwezi kumkuta Dem ambae siyo mlevi kaenda kukaa sehem ya starehe na hana hela ya kujihudumia kwenda kuombaomba na kutega wanaume
Mwingine anakua ana stress..anaamua kujipumzisha na kinywaji kwa masaa mengi ..! Kwanza mwanamke anayekunywa bia taratibu ana ustaarabu( anajibrand) sana kuliko anayepiga mitarumbeta...mijicho juu juu hatulii
Savanna, desperado, flying fish, na hizo light waweke kundi moja, lakini macalan ukikuta mwanamke yupo nayo mezani ujue kabisa hajatokea tandahimba siku hiyo , hapo ukiona anasimu na anaperuz jua anaangalia mipango ya conference za kibiashara na masoko ya mboga mboga ulaya, huyo hapepesi wala kugeukageuka hovyo ili aitwe