cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,901
- 78,949
Naichukia sana tabia hiyo.. nao hawajipendi kabisa.
bora uko lake zone,wengne wanatunzia section c hao wananiboaga.Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi anakutolea hukohuko maziwani ikiwa imeloa mijasho na kutoa harufu..... INAKERA SANA HII TABIA.
Huwa unatembea na kidumu cha maji na sabuni?
unamkuta Nyerere kwenye noti ya 1000 ameshiba kunyonya maziwa
Hakuna kitu kichafu tunachopeana kama hela
Mimi nikizitoa tu sarafu au noti mfukoni lazima ninawe na sabuni
Umenikumbusha 2002 nikiwa form 1 nilishawahi kudondosha 20,000/= nilipoenda chooni kujisaidia,nilipobebwa kwenye gari la wamachinga toka kijijini kwenda mjini kununua viatu.
Niliificha ile 20,000/= kwenye chupi nikihofia wamachinga wasiniibie, kimbembe kilikuja nilipoingia chooni nilidondosha pesa juu ya kinyesi na kuiokota nikaisafisha vizuri kwa maji ya bombani nikaikausha na kuitumia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukiambiwa uende chumvini utaenda kweli? Lol
😂😂😂😂😂😂 hii nimeipenda"inatia kinyaa"
Ila kwenye yale mambo akikupa huku hajaoga unayanyonya kama kawaida na chumvini unazamia kabisa.
Hauna tofauti na yule anayeona kinyaa kusuuza kikombe kwa bomba la bafuni akiAmini ni uchafu lakini anaweza kukinga hayo hayo maji kusukutulia mdomo anavyoswaki.