WANAWAKE ACHENI HII TABIA. INAKERA NA KUTIA KINYAA!!

WANAWAKE ACHENI HII TABIA. INAKERA NA KUTIA KINYAA!!

Acha ujinga mkuu, wakati wa kunjunja mbona hupati kinyaa? Ni sawa na kuingia chooni unaacha maji ya kunywa nje ila unaingia na mdomo.
 
Hakuna kitu kichafu tunachopeana kama hela

Mimi nikizitoa tu sarafu au noti mfukoni lazima ninawe na sabuni
Umenikumbusha 2002 nikiwa form 1 nilishawahi kudondosha 20,000/= nilipoenda chooni kujisaidia,nilipobebwa kwenye gari la wamachinga toka kijijini kwenda mjini kununua viatu.

Niliificha ile 20,000/= kwenye chupi nikihofia wamachinga wasiniibie, kimbembe kilikuja nilipoingia chooni nilidondosha pesa juu ya kinyesi na kuiokota nikaisafisha vizuri kwa maji ya bombani nikaikausha na kuitumia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na anayemaliza kunywa juisi ya matunda afu akamaliza na kusuuza kikombe kile kile ili ashushie maziwa, bila ya kujua vyote ni vinywaji na vinaenda tumboni kupitia mdomo wake huo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanawake tunaookotaga barabarani kwenda kulalala nao huwa wanakuwa wake zetu mkuu?

Ukiona mtu ana kinyaa basi fahamu hawezi kuwa msafi kwasababu atakuwa anaona kinyaa akiwa katika jitihada za kupambana na uchafu.
sijamaanisha ni lazima awe mkeo mkuu, ila ambae uko kwenye mahusiano nae au mama huwezi kuwa na kinyaa nae.
.
Na sitegemei mkuu kama unaokota mwanamke leo na kumalizana nae leo pengine unachukuaga makahaba na asilimia kubwa ya makahaba ni wasafi mno.
 
Hii tabia ya kuweka hela kwenye vifua vyenu(matiti) siyo njema, inakera na inatia kinyaa sana NA PIA INACHAKAZA NOTI. Unakuta unamlipa mwanamke pesa anaikunjakunja anaitia kifuani na chenchi anakutolea hukohuko maziwani ikiwa imeloa mijasho na kutoa harufu..... INAKERA SANA HII TABIA.
I am very certain kwamba hao wanawake unaowaongelea hawako Humu jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom