Ni utoto tu, akikua ataacha.Nachoona ni binti mdogo anajifosi kwa kijana..aina tu ya maneno anavyoandika ni mtoto,..mara sijui destiny,only love matters blah blah...kua uyaone wanayoona dada zako lol...kutongoza mwachie mwanaume ndo kazi yake,love sijui ndo kitu gani,kama umemuelewa mwanaume we jilengeshee n behave kike ataingia mwenyeweee like it's his idea.,
Kuja kuambiwa uliniapproach inahusuu lol.,
Yap. Ukimpata wa hivi afu akakucheat inabidi ukamloge kwakweliWanawake Mambo ya kufa na tie shingoni sio mpango..We kama unampenda mtu mfwate na utiririke ya moyoni sio lazima mpaka uanzwe...We jishushe zen make a move..Yeah..Sometimes u nid to put your pride aside and follow your heart..
To lose pride over someone u love sio kitu mbaya...
Sasa Unamkuta mtu kakondeana utasema anafanya russian air force diet kumbe ni mawazo ya mapenzi yanampelekesha..Shida yote ya nini sasa
Huyu dada nimempenda gafla aisee..Full mikonfidenga..
We unaichukiliaje hii
