Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
- Thread starter
- #21
Mbona sisi watoto Wa wakulima wadogowadogo unatutenga..Sisi hatupaswi kutongozwa??...Halafu kama kujilengesha mi naona bora ujilengeshe mazima tu..Kwani sh ngapi?...Unaweza kutoa hiyo invitation na MTU akashindwa kujiongeza...Kama unataka wanaume wenye pesa shurti ujiongeze maana ushindani mkubwa ukingoja akutongoze utangoja sanaa maana watu wanajilengesha daily. Sema sasa wengine nunda kitu kidogo tu unasikia KWANZA ULINITONGOZA MWENYEWE. Hahahaaaa. Yataka moyo.
Humtongozi perse ila unatoa INVITATION TO TREATY.