Wanawake 80% wanafika orgasms wakiwa wamevaa socks

Wanawake 80% wanafika orgasms wakiwa wamevaa socks

Kuna msichana ambae ni mshkaji wangu
Aliniambia kitu nikamuamin mapenz ni hisia tu yan yy akisex na boy wake anaemkubali dk chache tu anaridhika tatzo anaposex na madanga yake hua anahisi wanamchafua ingawa anasema wapo wengne wanasimamia hadi ukucha lkn hapati ile ladha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kulingana na sehemu zenye baridi,na sehemu zenye joto??
 
Sio sehemu zote zenye baridi mkuu, hapo labda ungesema kwenye sehemu za baridi ndio avae hizo soksi ili kuzuia baridi

Ameongelea miguu ya baridi na sio sehemu yenye baridi. Labda swali ni kuwa inakuwaje miguu inakuwa ya baridi?
 
Kuna mdau mwingine alileta mada humu, akasema mwanaume ukivaa soksi bao linachelewa kidogo. Maana yake usipovaa soksi bao linawahi japo alizungumzia wanaume tu.

sent from Sokoro nkorambokande
Nadhani huyu alimaanisha soksi ya kuva kwenye dudu. ( dushe)
 
Duuu! Research ilifanywa aje?
using a technique called positron emission tomography (PET).

Pia scans imeonyesha kua wakati Wanawake wangejaribu KUWADANGANYA WANAUME KWA kwa Ku fake Orgasms. Utofauti uko wazi kwenye Ubongo.

Sehemu ya Ubongo yenye kuhusika na Utambuzi(consciousness) ina WaKa lakini sio kwa Real ones.

Sehemu ya hisia(consciousness) inajizima wakati WA orgasm ya kweli. Lakini hii haitokei ikiwa mwanamke ana pretend.

.

Sent using Jamii Forums mobile app
cd7936aa5ca7fb1962723e4331b9d597.jpg
 
Back
Top Bottom