imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Nasikia ana ngoma?Dr. Arikana Chihombori simuoni.View attachment 2659337
Nasikia ana ngoma?Dr. Arikana Chihombori simuoni.View attachment 2659337
Uchaguzi wa tanzania haujawahi kuwa huru na hautakuwa huru abadani...hata 2025 atapita tu
Nani amekudanganya!!??Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Sifahamu kuhusu hilo mkuu.Nasikia ana ngoma?
Alikuwa mstari wa mbele sana katika kutetea Waafrika.Sifahamu kuhusu hilo mkuu.
Safi kabisa. Viva Tanzania. 🙏🙏🙏Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Ndio maana namkubali sana. Hawa wengine waliobaki naona kama umimi umezidi sana. Kila mmoja ni mzalendo wa nchi yake na kuisahau Afrika kiujumla.Alikuwa mstari wa mbele sana katika kutetea Waafrika.
Samia pia anatakiwa awe mstari wa mbele katika ukombozi wa MWANAMKE WA AFRIKA maana ameonyesha kuwa anaweza kuziongoza Korodani milioni salasini na ushee.Ndio maana namkubali sana. Hawa wengine waliobaki naona kama umimi umezidi sana. Kila mmoja ni mzalendo wa nchi yake na kuisahau Afrika kiujumla.
Bora tukachimbe dawa tu hii thread kichwa imegoma kuielewa!!Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Tupunguze Uchawa kidogo. !! Automatically mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke akishakalia kiti cha Ukuu wa Nchi anakuwa POWERFUL !! Haihitaji forbes wala taasisi yeyote kutanabahisha hilo !!Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Anayekusifu sana hata pale ambapo hapastahili kupewa sifa ujue Unadanganywa !! Anayekukosoa kistaarabu ndiye anayekupenda maana anakuzindua ulipokosea uparekebishe !!Nyie machawa ndio mnamuharibia sana huyu mama muachen afanye kazi yake ataonekana tu kuliko kila siku kumpamba tu,mlifanya kwa Magufuli alivyofariki mkaanza kumsema!
Lengo la uzi huu ni kutuonyesha huyo zanzibar's finestRais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
We Mataga chawa,hata mama yako Hana nguvu?Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Mbona mwanzoni alikuwa anajibu tena mambo ya mitandaoni kabisa hadi tukajua kuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao kuliko hata wale wananchi wake ambao ni jobless.Ni kweli aisee,maana anapigwa majunguuu Wala hajibu kitu hafanyi kitu.....angekuwa Rais mwingine Kwa namna tunavyomchafua "badamu yangemwagika aisee"