Wanawake 3 wenye Nguvu kubwa Barani Afrika

Wanawake 3 wenye Nguvu kubwa Barani Afrika

Mbona mwanzoni alikuwa anajibu tena mambo ya mitandaoni kabisa hadi tukajua kuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao kuliko hata wale wananchi wake ambao ni jobless.
Katulia sasa,amekuwa kisiasa
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni

2. Mo Abudu

3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala

Nguvu za nini! Rekebisha weka neno wenye umaarufu, ushawishi na wenye hekima na busara!

Kama sio hivyo hata mamako ana nguvu ndio maana alikuzaa kilaza wewe
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni

2. Mo Abudu

3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala

Labda nguvu za giza"uchawi au ndumba) lakini Samia ana nguvu yeyote ndio maana anafanya udalali wa, laslimali za nchi,kwenye kwenye mataifa ili aone kama anaweza kuungwa mkono,Samia nikuwadi wa Warabu anauza nchi yetu.
 
Back
Top Bottom