PreGE2025 Wanavyuo Mkoa wa Iringa wasema watampa Mitano Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Wakuu!

Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.

Wanvyuo tukiwa maeneo Kama hayo mitano tena Kwa Samia NI uhakika SASA ngoja hafla igote .

Yule mama NI zero brain.
 
chawa kama chawa wengine wa ccm
bado watoto wakikua watajitambua akili zao
 
Wakuu!

Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.

Machawa ya ccm, yakitoka hapo hayana ajira yanatakiwa yaende Veta
 
ndezi kweli we gentleman🤣

yaani muhadhiri mwandamizi niwe mwanafunzi tena ghafla?🐒
Muhadhiri mwandamizi unatakiwa uwe mstari wa mbele kuwaongoza vijana katika njia sahihi kuelekea Oktoba 2025😃
 
Wakuu!

Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya Wasomi na Miaka minne ya Rais Samia.

Siyo Kwa wanafunzi ninaowafahamu mimi hao ni wale wanaosombwa na magari kutoka vijijini wanamwagwa vyuoni kuhudhuria ziara
 
Muhadhiri mwandamizi unatakiwa uwe mstari wa mbele kuwaongoza vijana katika njia sahihi kuelekea Oktoba 2025😃
hayo ni majukumu ya watu wa aina kama vile heche au lema.

wataalamu kazi yetu ni kuwapa tathimini ya faida na hasara za mambo hayo ikiwa yanafaa ama laa 🐒
 
Back
Top Bottom