Wanaumeeeeee!!!!!

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
:panda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa jamani, baadhi ya wanaume wanaakili kweli? Utawezaje kumtamani mpenzi wa kaka yako tena wa kuzaliwa? Ni laana au!!!!!!!!!!!!!!?:panda::panda:
 
Mwambie aache ujinga acontrol hisia zake wako wengi wa kuwapenda.
 
Sio vizuri kabisa na mwambie wala asijaribu kufanya hicho kitu, Hivi kakosa wanawake wengine ila machoni mwake anamuona mwanamke wa kaka yake tu ndio wa kumtamani???Wanawake wote hawa mpaka atamani mwanamke wa kaka yake??Hana akili ndio maana anataka kufanya
 
kumtamani sio kosa....kosa ni huko kutaka kujaribu hicho anachokiita bahati yake....mwambie amuheshimu kaka yake na amuogope Mungu.
kuhusu akili za baadhi ya wanaume,usitake kabisa kuzitafakari utaishia kufa hujafika loliondo kwa babu.....sio kabisa na kwenye ishu hizo baadhi/wengi wao akili huamia sehemu ya chini ya kiuno!!!
 
unataka kujaribu bahati yako je akikubali huoni utaleta ugomvi kati yako na
kaka yako chunga tamaa mbaya ndugu yangu
wasichana wapo wengi
 
kumtamani sio kosa....kosa ni huko kutaka kujaribu hicho anachokiita bahati yake....mwambie amuheshimu kaka yake na amuogope Mungu.
kuhusu akili za baadhi ya wanaume,usitake kabisa kuzitafakari utaishia kufa hujafika loliondo kwa babu.....sio kabisa na kwenye ishu hizo baadhi/wengi wao akili huamia sehemu ya chini ya kiuno!!!

Michelle, kutamani si kwamba ni kosa tu bali ni dhambi!! Kama tumeamriwa kutotamani mke wa jirani yako, je wa kaka yako (hata kama bado si mke) si ni zaidi?
 
Dah!!!
Mwambie aache tamaa za kijinga!!!
Si atakuja kutamani hata watoto wake sasa.
Kama hawezi kuipa mipaka hiyo tamaa yake?
Mwambie hiyo tamaa ya hivyo Ishindwe!!!
 
:panda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa jamani, baadhi ya wanaume wanaakili kweli? Utawezaje kumtamani mpenzi wa kaka yako tena wa kuzaliwa? Ni laana au!!!!!!!!!!!!!!?:panda::panda:
kumtamani sio shida, unaweza sana. Ila inabidi udhibiti tamaa zako...
 
For **** sek
What the **** is this
tukusaidie nini tu hapa..?

He need to grow up
And stop that nun sense....
 
For **** sek
What the **** is this
tukusaidie nini tu hapa..?

He need to grow up
And stop that nun sense....

Ukiona wanaume wa hivyo Afrodenzi, ni wale wasiojua kuchakarika kutafuta wakwao. Anasubir hadi aletewe home na bro ndo ajifanye ana geeeenye...
 
Anatamani nini?
mara moja au jumla?
kwa kweli anatia huruma,
pamoja na kuwa ni mjinga,
pia ni kati ya wale wanaodhani kazi ya mwanamke kwenye uhusiani ni kuoa burudani kitandani, tu.
nampa pole huyo dada atakekuja kuishia nae kwenye ndoa, masikini, lamani wanawake tunashida!!!
unaweza ukadhani unapendwa kwa ujumla kumbe ni burudani tu mtu aliojijengea akilini akiimagine ataipata kwako.
I hope I am wrong, lakini kuomba ushauri hapa ni bure, kwani najua ushamuambia haya sana na amekataa.
 
hata Mungu anakataa,huyo anajitafutia balaa utampendaje my girlfrienda wa kaka yako?
 
:panda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa jamani, baadhi ya wanaume wanaakili kweli? Utawezaje kumtamani mpenzi wa kaka yako tena wa kuzaliwa? Ni laana au!!!!!!!!!!!!!!?:panda::panda:

Wewe kijana unajitafutia balaa katika maisha yako, ondoa fikira potof ingia mtaani tafuta wa kwako na wewe
 
Du,ama kweli shetani amekamata ufahamu wake.mwambie aachane na mawazo hayo kabisa,yatamgharimu sana baadae,tena ni dhambi kubwa,laana,aibu.Tumuogope MUNGU jamani,hatukuumbwa ili tufanye maovu.
 
Michelle, kutamani si kwamba ni kosa tu bali ni dhambi!! Kama tumeamriwa kutotamani mke wa jirani yako, je wa kaka yako (hata kama bado si mke) si ni zaidi?

Ni kweli,kwanza kutamani tu,ni dhambi,yapaswa atubu kwa kosa la kutamani kwanza.
 
Back
Top Bottom