Wanaumeeee!!!

Wanaumeeee!!!

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,746
Reaction score
4,350
Habari nduguz,

Daaah, Wanaume wengine wanadhalilisha sana hii jinsia yetu ma shabaaaabi

32413709_10155697568495186_4496308104341749760_n.jpg
 
Mwanaume si Mwanaume Halisi
Mwanaume hadi awe Mwanaume
Kuvaa suruali na shati sio kigezo peke
Mwanaume ni moyo na akili kuntu
Mwanaume halisi hapendi kupita
Hubakiza hisia na akili ya kuchakata
Kuchakata masaibu ya uhusiano bora
Huamua kwa akili na si moyo aslani

Bazazi
 
Mwanaume si Mwanaume Halisi
Mwanaume hadi awe Mwanaume
Kuvaa suruali na shati sio kigezo peke
Mwanaume ni moyo na akili kuntu
Mwanaume halisi hapendi kupita
Hubakiza hisia na akili ya kuchakata
Kuchakata masaibu ya uhusiano bora
Huamua kwa akili na si moyo aslani

Bazazi
Bazazi!

mama alikuwa akinituma alafu nikachelewa, nikirudi ananipayulia kwa kusema, "bazazi mkubwa wewe! mayahud"
 
  • Thanks
Reactions: sab
That man is not dumb.

Mke wake awe makini sana.
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom