Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,174
- 34,405
Ni kitu nakifikiria tangu nimemaliza kusoma barua. Katika haya maisha ogopa sana mtu unaemkosea na anatatua tatizo lenu kidiplomasia
Mwanamme ni kitu tofauti sana.
Ni kitu nakifikiria tangu nimemaliza kusoma barua. Katika haya maisha ogopa sana mtu unaemkosea na anatatua tatizo lenu kidiplomasia
Sisi hasaa wakimya mtuachage tu hivi hivi.Mwanamme ni kitu tofauti sana.
Nakubaliana na ww kabisaHivyo ndivyo mlivo kiuhalisia, hapa jf mnajichetua tu kujikuta mnatunisha misuli, misuli yenyewe ya mbu.....
Hata baba hafifa hapa jf atajitutumua.


Inawezekana akawa na silaha za maangamizi kimya kimya 😳 😳Lakini wakuu mmgejua mantiki ya huyu jamaa kuandika barua wala msingemkashifu..........hii baua iko siku itakuwa hati ya kifo maana jamaa kashindwa kuongea maana mikono yake imejaa ghadhabu mke wake awe makini watu kama hawa mm nawafahamu huwa hawatanii aiseee katumia busara sana
Hapa jf kila mwanaume ni kidume, hapa kila mwanaume hawezi ishi na mwanamke anaecheat, hapa kila mtu ana sauti kwake ha ha ha haNakubaliana na ww kabisa![]()
Tungejiuliza alikua anafkiria nn wakat anaandka? Na huyo aliye andkiwa anajisikiaje? Na aliwwzakujibu swali aliloulizwa la kuletewa zawad? Na kwa nn mume amuandikie kwa kalam na sio SMS ya kawaida ya kweny SMU? Note "Kmya kingi kina kishndo kikubwa "Habari nduguz,
Daaah, Wanaume wengine wanadhalilisha sana hii jinsia yetu ma shabaaaabi
View attachment 777138
hahahaHapa jf kila mwanaume ni kidume, hapa kila mwanaume hawezi ishi na mwanamke anaecheat, hapa kila mtu ana sauti kwake ha ha ha ha
Nawaona nawaona kina baba hafifa



huo ndo ukweliHivyo ndivyo mlivo kiuhalisia, hapa jf mnajichetua tu kujikuta mnatunisha misuli, misuli yenyewe ya mbu.....
Hata baba hafifa hapa jf atajitutumua.