Huwa nachukizwa na wanaume wa aina hii kwakweli ! Hivi unadhani bila mkeo hao watoto ungewapata ? Au wangejizaa wenyewe ? Wanaume mnamanyanyaso sana kwa wake zenu , na kwa taarifa yenu wake zenu wanawavumiliga tu kwasababu ya watoto , na kwa matendo yenu huwa wanakuwa wamewaisha wachoka kitambo na kuwatoa moyoni.. hata hiyo talaka unayojivunia itamfata huko wala haimkomoi bali unakomoa watoto.Naaammm....tuko tofauti bibie.....binamuyo atakuwa yai la kisasa.....mie namuongezea na nauli....chaaaaa.....na talaka itamfuata huko huko.....maisha yenyewe mafupiii.....ila kwenye watoto hapo ndo shughuli.....lazima kuwepo mjadala.....
MhhhhhhhWapi hiyo shoooo ninakaribia miezi miwili sasa sipo home baaasi nikwambie natongozwa upya pya nachumbiwa mwenzio simu zisizo na idadi hahahaha za i miss you baby girl leo nimekuwa baby!!! Shutuuuu
Namalizia kumuoshea mtu vyombo kwaheri
Mbn hivyo!!!Mhhhhhhh
DuuuuuuuuuuuHuwa nachukizwa na wanaume wa aina hii kwakweli ! Hivi unadhani bila mkeo hao watoto ungewapata ? Au wangejizaa wenyewe ? Wanaume mnamanyanyaso sana kwa wake zenu , na kwa taarifa yenu wake zenu wanawavumiliga tu kwasababu ya watoto , na kwa matendo yenu huwa wanakuwa wamewaisha wachoka kitambo na kuwatoa moyoni.. hata hiyo talaka unayojivunia itamfata huko wala haimkomoi bali unakomoa watoto.
Hayo ni matatizo binafsi ya binamu yako na inawezekana ana matatizo ya kisaikolojia hivyo hatuwakilishi wanaume wote. Na inawezekana pia yeye ndiye chanzo cha bibiye kuondoka hivyo dhamiri yake inamsuta.Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.
Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?
Sijui mnaenielwa....!!!?
Kasie Kasiba.
Wapi hiyo shoooo ninakaribia miezi miwili sasa sipo home baaasi nikwambie natongozwa upya pya nachumbiwa mwenzio simu zisizo na idadi hahahaha za i miss you baby girl leo nimekuwa baby!!! Shutuuuu
Namalizia kumuoshea mtu vyombo kwaheri
uende tuuu....umetoka kwenu na mitabia yako ishanichosha.......kama ushanitoa moyoni nini tena dada yangu....maisha lazima yasonge......umekimbia nyumba yamekushinda songa.......tatizo mnafanya watoto ndio kinga na kuwalisha sumu watoto.....mnapoteza muda.....kubali matokeo usonge mbele.....Huwa nachukizwa na wanaume wa aina hii kwakweli ! Hivi unadhani bila mkeo hao watoto ungewapata ? Au wangejizaa wenyewe ? Wanaume mnamanyanyaso sana kwa wake zenu , na kwa taarifa yenu wake zenu wanawavumiliga tu kwasababu ya watoto , na kwa matendo yenu huwa wanakuwa wamewaisha wachoka kitambo na kuwatoa moyoni.. hata hiyo talaka unayojivunia itamfata huko wala haimkomoi bali unakomoa watoto.
Na wewe atakufuja kama wa mwanzomh! Huyo binamu yako mshawishi "mie nije huko nimpe faraja" upweke sio dili
Hii nimeipendamh! Huyo binamu yako mshawishi "mie nije huko nimpe faraja" upweke sio dili
[emoji120] [emoji120] [emoji119] [emoji119]Naam Kasie,
Inawezekana sana mwanaume akashindwa kujiongoza pindi mke akiondoka. Humu mitandaoni huwa watu watabisha na kusema "huyo ni mvulana", "mwanaume suruali", lakini mara nyingi divorces zinaleta matatizo na kuyumba kwa watalaka na hatimaye wengine huishia kutumia mihadarati na pombe.
Vijana hawawezi kuelewa coz bado hawajui maana ya mke ndani ya nyumba.
[emoji15] [emoji15]huwaga mnaturoga....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Vitanda tofauti! Si nitakuwa sina tofauti na mgeni alokuja. Mimi hapana kwa kweliShida ni kulala ni kitanda kimoja!
Katika maisha jijengee kulala vitanda tofauti na mkeo itakusaidia mbeleni.
Hii kulala kitanda kimoja umekumbatia tu huku vidole vyake kakuwekea mdomoni hadi unyonye ndo ulale!siku akisepa utakonda km panya mwenye tb!
Mke vitanda tofauti.
Watoto chumba chao.
Hata wakiondoka unaweza kusavaivu kisela muda mrefu hadi akirudi
Mwanamke siyo ndugu,ni rafiki tu ,huyo binamu yako atakufa siku siyo zake kwa kumuwaza rafikiHalafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.
Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?
Sijui mnaenielwa....!!!?
Kasie Kasiba.
Jibu lake rahisi sana mkuu, ni kwamba, mwanaume na ujeuri wake wote mke ni muhimu sana kwake, watagombana atamfanyia mabaya mengi lakini siku akiondoka ataumia sana kwa sababu thamani yake anaitambua. Anakonda kwa sababu ni mtu aliye na huruma sana na anajutia yale yote aliyoyafanya. Lakini mwanamke anayemtesa mume wake, hata huyo mume akiondoka hajali hata kidogo, tena ndo anafurahi sana ni vigumu kujutia haraka, uliwashawahi kujiuliza hilo?Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.
Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?
Sijui mnaenielwa....!!!?
Kasie Kasiba.
La! Siwezi kusema; si unajua tuko Fake zonekwamba umri mdogo ama?
Ndugu yake Binamu,Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.
Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?
Sijui mnaenielwa....!!!?
Kasie Kasiba.
Atulie kidogohu
hahahahahhahha hebu rudi kwak na ww!alaa!mie najiandaa niende kumalizia stress dar bbyyy..nlianzia Iringaa huko !hapa npo kwetu hapa nadeeeekaaaaaaaa !fyyyyyyyyyyyyyyyuuuuuuuuuuuuuuuu