Ndio umeelewekaSijui mnaenielwa....!!!?
huyo alikuwa mwanaume suluari na alimuweka mke wake kama kijakazi. Kama mnashirikiana ndani, kusaidiana kazi za nyumbani na umelelewa vyema na mama yako kakufundisha stadi za kazi na maisha, huwezi kubabaika akiondoka mwanamke
Rudi nyumbani haraka we mtoto[emoji13] usimuumize ndugu yangu kwa mawazo.hhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !
apambane nna hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
Rudi nyumbani haraka we mtoto[emoji13] usimuumize ndugu yangu kwa mawazo.
Naam Kasie,
Inawezekana sana mwanaume akashindwa kujiongoza pindi mke akiondoka. Humu mitandaoni huwa watu watabisha na kusema "huyo ni mvulana", "mwanaume suruali", lakini mara nyingi divorces zinaleta matatizo na kuyumba kwa watalaka na hatimaye wengine huishia kutumia mihadarati na pombe.
Vijana hawawezi kuelewa coz bado hawajui maana ya mke ndani ya nyumba.
Halafu mkishaitika nisaidieni haya maswali yanayonizonga kichwani maana sielewi atii....
Hivi mwanaume ulishakuwa na familia maana ya mke na watoto kadhaa, kwa namna yeyote ile yule mwanamke akiondoka kwenye nyumba na watoto akakuacha uendelee na maisha mwenyewe huwa inawauma sana? Hata kama kuna magomvi yaani mwanaume anaweza hata kukonda na au kuwa mlevi na hajijali tena? Unakuta huyu mwanaume ana hela zake ila kuachwa na mke na watoto anakuwa anashindwa kabisa kuendelea kuishi.... bila kujali yeye mwanaume kila siku ndo alikuwa anamtamkia mkewe kuwa ntakufukuza na vifaranga vyako, hata ukiondoka hata sijali tena ntaoa mwanamke mwingine. Shangaa sasa mke akiondoka..... haoi hanunui milupo badala yake kila siku anadhoofika..... sielewi nini huwa kinatokea.
Hiki nilichoona hapo juu nina ushahidi nacho, binamu yangu mmoja yuko hooii amebaki kwenda kazini tuu ndo nguvu aliyonayo. Ana pesa nzuri na anakaa kwenye nyumba yake Tegeta ila alimkorofisha sana mkewe kumnyanyasa sana kumfuja hatimaye mke akaondoka na watoto weeh yaani hivi niandikavyo binamu anatia huruma. Naomba ni wanaume mnieleweshe.... kwanini huwa mnakata tamaa sana, mkizoea kuishi na mwanamke akiwa mbali nanyi huwa hamuwezi kuendelea mbele?
Sijui mnaenielwa....!!!?
Kasie Kasiba.
rudi nyumbani usiniulie shemeji yangu plshhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !
apambane nna hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
Umekuja mjini kimya kimyahhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !
apambane nna hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)