Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
Duh nikajua mimi ni mshamba au nakosea pahalaSijawahi kumiliki wallet, sio lazima.
Labda kuna mazingira yanalazimu wallet, sijui.Duh nikajua mimi ni mshamba au nakosea pahala
Simu yangu ina wallet pembeni naweka hela ya dharura au yakutumia muda ninaotoka plus business card na vitambulisho sinahaja ya kubeba mizigo mingiHivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na πͺͺ wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa vitambulisho pesa naweka kwenye mfumo wa jeans imepita hivi sitembei kabisa na wallet hili swala limenishinda kabisa
Kutembea bila kuweka mikono mfukoni sio yote no mkono mmoja lazima niweke mfukoni hii nayo siwezi acha ni kitu imenishinda kabisa kuacha naona ni mazoea
Je ni kwangu tu au
Mimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na πͺͺ wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa vitambulisho pesa naweka kwenye mfumo wa jeans imepita hivi sitembei kabisa na wallet hili swala limenishinda kabisa
Kutembea bila kuweka mikono mfukoni sio yote no mkono mmoja lazima niweke mfukoni hii nayo siwezi acha ni kitu imenishinda kabisa kuacha naona ni mazoea
Je ni kwangu tu au
Ngoja tuone watu wanasemaje mm imenishindaLabda kuna mazingira yanalazimu wallet, sijui.
Ndio wapo kwani mbadala wake ni nini?Kuna watu bado wanabeba wallet zama hizi?
Simu gani hiyo?Simu yangu ina wallet pembeni naweka hela ya dharura au yakutumia muda ninaotoka plus business card na vitambulisho sinahaja ya kubeba mizigo mingi
Duh kwhy tangu hapo umeacha kabisa kutumia?walet sio nzuri ni shawahi kupoteza hela kwenye wallet sita sahau nahisi ilidondoka au ilichomolewa
Kwhy unatembea nayo kama boshe i tu?Yaani mali zote niweke sehemu moja ,sijawahi kuwa mpumbavu tangu nizaliwe..Siweki kitu kwenye wallet hata siku moja.
Duh nilishawai sahau mwamvuli wa watu niliufwata chapMimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.
Kuwa na wallet ni u GENTLEMAN π ma gentleman wotee huwaga hawakosi wallet.
Cc. Tlaatlaah
Acha basi dubu nimecheka san πMaisha yangu yote hadi leo hii sijawahi kumiliki wallet, kwanza natembea na kitu/vitu gani hasa hadi nitumie wallet? Vitambulisho nabeba naenda navyo wapi? Maana kama kuna jambo ni kubeba kimoja au viwili na pesa kiasi fulani basi
Unakuta mtu wallet ina vitambulisho kibao afu anatembea navyo tu mara hadi viwembe vimoAcha basi dubu nimecheka san π