Wanaume!

Wanaume!

Unajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
wanaume wametofautiana kuna wanaopenda mionekano ya kikahaba yaan anakua na mke kama shangingi..pete mbilimbili gauni mapaja nje kope kama za mdoli..akiwa njian utahisi ni kamalaya flan kumbe mke ya mtu inakaa uchi tuu njian..
 
sioni kama ni tatizo......ila asiwe kashupaa kama kuni za muarobaini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom