agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Unajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
Umeenda kanisani?haaaaaa leo jumapili
na sadaka nimetoa somo la leo limenigusa mnoUmeenda kanisani?
na sadaka nimetoa natembea na upako wanguUmeenda kanisani?
Bwana awe nawena sadaka nimetoa somo la leo limenigusa mno
Unajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
Avata ni nini?Kama apo kwenye avata yako
amen ngoja nimalizie kupika nitakuja pm tuanze upyaBwana awe nawe
Unazungumzia zama zipi?Wazee wetu walijisikia je kutembea na bibi zetu wakiwa wazi vifuani na matakoni..huku wamefunika uch.i wao kwa gome la mti,???
Sifikirii na siyakubali kutembea na mke wangu amevaa nusu utupu au hovyo hovyo tu Kama vile kahaba, akilazimisha nahisi ndo itakua mwisho wetuUnajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
Ngoja nitafuteUngeweka picha tujue nusu uchi ukoje...?
Nazungumzia matembezini na mnatumia usafiri wa umaAkiwa namimi nifresh2, alafu napenda na inategemea tunaenda wapi tupo katika mazingira gani ila nifresh2
Sema tu.Bila picha ni ngumu kusema