Wanaume yanawakutaga

Teh ilibidi atumie akili ya ziada
 
Naomba link ya huo Uzi bibie
 
Sio kuwa unakubali kuzidiwa ujanja, unaangalia majukumu uliyonayo na watoto unaamua kuprioritise mkiwa wote wajanja nyasi ndiyo zinaumia.
Endeleeni kuangalia watoto mpukutike kwa maradhi.
Hao watoto sijui mtawaachia nani.
 
vipi mamaa sky eclat, ulishamwaga ya moyoni yanayokusibu kwa yule lecturer wa kighana!
 
vipi mamaa sky eclat, ulishamwaga ya moyoni yanayokusibu kwa yule lecturer wa kighana!

Bado nilikuwa likizo ya Easter nilisafiri kidogo lakini anajua kuwa I have a crush on him. Nina umbea kapu wa huko nilikokuwa stay tuned.
 
What if amekuja na brand new ist au Lexus aijafanyiwa registration anaingia nayo huku umenuna anakupa ufunguo utafanyaje.Udhaifu wenu ni zawadi na maneno.
 
What if amekuja na brand new ist au Lexus aijafanyiwa registration anaingia nayo huku umenuna anakupa ufunguo utafanyaje.Udhaifu wenu ni zawadi na maneno.
Mhhhhhhhhh 😛😛😛😛
 
Una akili mingi sana. Ungekuwa karibu ningemwambia muhudumu akupe castle bariiidi.

Nasubiri kipembeni Paw adondoshe mkono.

Ahsanta
 
Hehehe kwa mwendo huu hadondoshi ng'oo. Hata nikimuona anakuna kichwa najihesabia kaomba msamaha na namsamehe kama ilivyoagizwa na Mungu.

(Tuma hela kwa mpesa nitajiagizia kwa mangi baba)

Usipolikoka unakuwa na pwenti.
Nasubiri namba niende kibandani
 
HII MBONA KAMA NILIWAHI KUIONA KWENYE STORI ZA NDUMILAKUWILI YULE WA GAZETI LA SANI.
 
Aaah hapo ndipo utakapojua ukifika msibani nafsi ikusute
Ni mke au mchepuko
 
Msiba hauna kadi ya mwaliko so sioni sababu yamsingi inayomfanya jamaa asiende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…