Wanaume yanawakutaga

Hawa viumbe wanajua kukusoma kwanza, atakwambia nyinyi hamjua sisi tunapataje pesa, wewe unafikiri nilikwenda kujirusha mimi nilikuwa ninatafuta.
My dear,kama mke lazima utakuwa unajua kazi ya mumeo.
Sasa utetezi kama huu sijui utafaa nini.
Na...vile unavyomtreat mume hujenga au kuharibu ndoa.
Mwanaume akurudie asubuhi ati alikuwa anatafuta?
Nawe unachekelea?
Na kumuuliza nikutengenezee nini juu?

Nakumbuka uzi mmoja wa lara 1 aliwahi kusema "Treat a man like a man"
Huu ujinga mnaoulea utawagharimu.
 
Mume wa rafiki yangu alipata mchepuko ukamchanganya sana, kuhakikisha anakuwa na time alimwambia mke wake majukumu ya nyumbani yameziki hivyo anaona ni kheri awe anaendesha tax weekend.
 
Aende msibani tu...shida iko wapi
 
Mume wa rafiki yangu alipata mchepuko ukamchanganya sana, kuhakikisha anakuwa na time alimwambia mke wake majukumu ya nyumbani yameziki hivyo anaona ni kheri awe anaendesha tax weekend.
Heheheheee
Sio tatizo,nitahakikisha namfanyia 'ziara za kushtukiza'
Mbona nitamfuma tu?
Mie mwanaume anidanganye labda niamue tu.
 
Heheheheee
Sio tatizo,nitahakikisha namfanyia 'ziara za kushtukiza'
Mbona nitamfuma tu?
Mie mwanaume anidanganye labda niamue tu.
Muombe sana Mungu, hawa viumbe wakiamua lao huwawezi.
 
Also they lie about past or present relationships, how many men do they have etc
 
Tabia inatokana na nini?
Ila kuna watu nadhani uongo ni genetical
Kuna quote moja inasema; "if lying could be beneficial some people could have been millionaires".
 
Imagine wewe ni mwandishi wa habari na unasafiri san afu mkeo amelufa ghafla .. Upo msibani unaamua kuperuzi JF unakutana na hii thread.. Ungechangia?
 
Heheheheee
Sio tatizo,nitahakikisha namfanyia 'ziara za kushtukiza'
Mbona nitamfuma tu?
Mie mwanaume anidanganye labda niamue tu.
wanachukulia poa kila kitu, wengine wanaogopa kuachwa ndo maana wanabebelea upuuzi afanyao mwanaume. hahaaaa Nifah I wish nikuone cku ukimfumania...
 
Hujapenda Nifah! Mapenzi Ni upofu! Ni rahisi Kuona udhaifu wa wengine! Wetu hatuuoni...!
 
Imagine wewe ni mwandishi wa habari na unasafiri san afu mkeo amelufa ghafla .. Upo msibani unaamua kuperuzi JF unakutana na hii thread.. Ungechangia?
Umeongea point Mkuu! Ni Kwa Mwandishi Kua humu kuna uwezekano wa 90%! Huyo Deo ajiandae!
 
Haha, riiight. Men are biased, women are too, but science isn't...kuna utafiti(?) ulifanyika Bongo miaka ya karibuni, ikagundulika wanaume wengi wanalea watoto wasio wao pasipo wao wenyewe kufahamu. I guess those are not women's lies.

Na huo wimbo, mbona sioni popote uongo unapoingia? Au break ups zote zinasababishwa na uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…