Wanaume wotee sawa tu

Tupo wengi tu mama sema angalia kauli zako labda zinakatisha tamaa au na we ukipata mwanaume unataka kuishi kama official tunda
 
Tar 7 aliweka tangazo la kuhitaji mume.
Ta24 analalamika kuachwa.
Inaonesha akili hamna ndio maana tupu zenu zinapata shida sana
 
Hata simdaganyi nanwambia ukweli akijifanya kupenda anajidhuru nafsi yake mwenyewe tu huyo. Mume sio kitu chakuhesabia mumekutana wote ukubwani, baba au kaka hawezi kukuumiza huo ndo ukweli
Sasa jibebe bebe....ujibebe bebe
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Hata tukikwambia tupo hutoamini kwa maana ushaji tune hivyo, pole sana
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Inaonesha Dingi yako na Kaka zako sio Wanaume ati au?
 
Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee

As long as bado wanakugegeda inatosha, Endelea tu kumpenda hao ndgu zako ila when it comes to kuliwa papuchi..Please!! am at your service
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Pole sana ndugu najuwa una pitia kipindi kigum sana usiache kumwomba Mungu sana kwani yeye ndie mfariji wa kweli, yote yatapita tuuu na utayasahau kipindi c kirefu
 
As long as bado wanakugegeda inatosha, Endelea tu kumpenda hao ndgu zako ila when it comes to kuliwa papuchi..Please!! am at your service
Hahaaaa eti as long as wananigegeda sasa hyo si case nyingine kabisa.
 
You don't need to doubt my mind I have a good thinking capacity.

Sorry if I offended you with my comment
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Unaitaji kupona! Si kweli kwamba wanaume wote wako sawa, labda kama kwa jinsia na maumbile ni kweli wote wana maumbile ya kiume ila kwa tabia nakataa sio kweli. Wapo wanaume wenye hofu ya Mungu, loving, caring etc! Tuloia tu na Mungu wako utampata soon yule anayekufaa
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Babako na mamako ni jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…