Watasoma huu ujumbe ila hawataelewa.Mm naamini kwamba kila mwanamke maishani lazima ukutane na mwanaume sahihi kwake kwa kilakitu tatizo wadada wengi wanafanya mambo kwa kukalili sisi wanaume tunabadilika kutokana na vipindi tulivyo navyo.....
Dada mwenye miaka 22-25 anaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume miaka 40 mtu ambae kwa kiasi kikubwa kajijenga kiuchumi ana mambo yake mengi mazuri na anafamilia yake
Sasa huyu dada ikifika kipindi anataka kuolewa hawezi kuolewa na yule mwanaume kwasababu tayari anafamilia na huyu dada itabidi atafute was kwake ambaye kwa makadirio atakua na umri wa miaka 28+ ........
Sasa mahusiano yakianza huyu mwanamke anataka ahudumiwe kama alivyo kua akihudumiwa na yule mpenzi wake wa awali kitu ambacho huyu wa miaka 28 hajazoea kwanza bado hata kiuchumi hajajijenga ippasavyo japo ni kweli anampenda mwanamke lkn anahitaji muda zaidi ili ajennge kwanza maisha
Hapo ndipo wanawake mnafeli msipende kulinganisha japo sio wote
Tatizo ubinafsi umewajaa.....Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Sasa wee; kidole watoto atawapataje? TafakariHuitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani
Jf bhana hahaaaHuitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani
Kama ya mezani ndio nini?Kama ya mezani vile
Tupo Mama Wanaume Wote Tunajua KupendaSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Bwana weee hata nyie mnacheat Sana tuuuPole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Sisi had tu cheat huwa tu naona nyie hamna uelekeo assume mtu yuko serious ila wewe ilikuwa wacheza na feelings za mwenzakoBwana weee hata nyie mnacheat Sana tuuu
Yeah tunaojua kupenda tupo bt inategemea na unaempendaSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Sasa twende upenuni tuyajenge[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa twende upenuni tuyajenge
Hahahahaha this strategy always works. Keep it going mate....Personally nimeipokea hiyo punch...
It hurts though.
Sidhani kama upo sahihi kwa hilo, wenye mapenzi ya dhati wapo bt inategemea na wewe unavyo reactPole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Waongo ni 98% ujanja ujanja kumpata anayejielewa ni ngumu mno.Sidhani kama upo sahihi kwa hilo, wenye mapenzi ya dhati wapo bt inategemea na wewe unavyo react
Exactly, na hicho ndicho kinachowasumbuaFallacy of generalization
Ukumbuke ukisema wanaume wote na baba yako pia yumo
Tatizo huwa mnawaacha wale wanaowapenda kwa dhati mnawafuata wale good looking ambaye huyo anakuwa na wengi wanaomtaka kwa hiyo hicho kilio lazima kikukute
Pole sana
Stress zikiisha genye zikipanda lazima utaitaji mkuyenge wa kukuna na huwezi pata popote ni kwa mwanaume tuSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Hahahahaha this strategy always works. Keep it going mate....
Mbona wala sio "tricks" hizi, mambo ya kawaida tu haya.Am old enough to play tricks man.
Very old.
Mbona wala sio "tricks" hizi, mambo ya kawaida tu haya.
Anaejielewa katika misingi ipiWaongo ni 98% ujanja ujanja kumpata anayejielewa ni ngumu mno.