Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke, wala haikua katika plan zake, ni uzoba wa Adam kushindwa kutumia mazingira yake vizuri katika kutengeneza furaha yake binafsi ndo kulisababisha atleast Mungu kuanza kufikiri nini cha kumuongezea Adam.

wanawake waliumbwa BY THE WAY tu, so uchambuzi wako hauna msingi
Muombe Mungu msamaha.
 
funny!!! huo ulimwengu wa rho uko wapi??? unabishana na BIBLE or??? thats what the Bible teaches, the woman creation was not on Gods plan at first, god wanted to create man only.
Dont bring your ullusions in the contest of Holy Bible
Kwenye ule utatu mtakatifu wewe upo nafasi ipi? Maana sio kwa povu hilo!!!
 
mke ni msaidizi wa mwanamume, mungu tayari katukabidhi muda mrefu hawa viumbe hata mwenzao jenifer lopez analijua fika hili mpaka akatoa single inaitwa "love dont cost a thing". huhitaji uwezo wa kiuchumi ili kummiliki mwanamke ila inakupasa umtumie kama rasilimali ya kukuongezea kipato. ndo maana vijijini mtu anaongeza mke ili wamsaidie kulima shambani.
No wonder!!!
 
Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke, wala haikua katika plan zake, ni uzoba wa Adam kushindwa kutumia mazingira yake vizuri katika kutengeneza furaha yake binafsi ndo kulisababisha atleast Mungu kuanza kufikiri nini cha kumuongezea Adam.

wanawake waliumbwa BY THE WAY tu, so uchambuzi wako hauna msingi
Haikuwa n haja y kucoment Kam hukupendezwa n mada
 
wanawake wengi wa sasa si waolewaji ni watalii,na ndo maana unakuta mwanamke anatumia vigezo vingi sana kumtafuta mume na WAKAT mwingine anapishana na mwanaume aliyekusudi sahihi,
KWANZA KWA SUALA LA UCHUMI
huwezi ukatumia UCHUMI wa mtu kuwa kigezo cha kuwa mume,pesa huja na kutoweka na wakat mwingine huwezi jua zinaweza zikakutoweka ukiwa Uzeeni,je mwanamke ndo akukimbie,HAPO ndo utaona wanawake wenye KUPeruzi wanavyokimbiaga na kuanza kudharau WAUME ZAO,
PILI SUALA LA KUMJUA MUNGU AU KUTOMJUA NI SUALA NYETI,NIMESHUHUDIA WATU WANAOANA WAPAGANI KABISA NA NDOA ZIKO SALAMA,NA WAKATI MWINGINE UNAKUTA MMOJA KATIKA NDOA NDIO ANAMJUA MUNGU KWAHIVYO NI JUKUMU LA MWINGINE KUMVUTA KATIKA KWELI YA MUNGU,

HOJA YANGU NI HII
1.Tangu mwanzo MUNGU alimpa mamlaka mwanaume amtawale mwanamke

Kama mungu mwenyewe aliamini yakuwa mwanaume anastahir kuitawala dunia,na kila uwezo wa kiroho na kiakil ameumbwa nao tangu unatoka tumboni mwa mama yako mungu amekukabidhi mamlaka hayo,hivyo ni namna gani mwanaume atakavyotumia
2.WANAWAKE WENGI WAMESHINDWA KUKUBAR HALI YA KUTAWALIWA NA WANAUME,NA HILI NDIO TATIZO KUBWA
-Asilimia KUBWA ya ndoa zinayumba KWASABABU WANAWAKE Asilimia kubwa WAMEKUWA wakihitaji kusimama Kama adamu KATIKA NDOA,KITU ambacho NI ngumu sana katika ule mwengu wa kiroho hata ki will,na hii inatokea sana pale mwanamke anapoona yakuwa mwanaume uchumi wake umeyumba AU mazoea ya kumchukulia he is like me,kumbe NI KITU ambacho sicho daima,
Mwanamke anapaswa kumtii mume hata kama uchumi wake uko chini au Hana senti tano mfukoni,

TUJIFIKILIE
MUNGU ALIPOMUUMBA MUME ALIMPA PESA,GARI,NYUMBA,AU MAVAZI?laah,MUNGU alimuumba mwanaume akatengeneza mazingira tu ya yeye kuvitawala vitu alivyompatia,na hivyo adam alipewa uwezo wa kutumia chochote kile kwa maarifa yake,kizur zaid mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidi wa mume,na hivyo mwanamke alipaswa kutii mamlaka ya mume,na ndio maana katika NDOA Kama ndoa yenu imewiva,basi Chochote mwanamke atakachokitafuta na kukileta nyumbani mwanaume Ana mamlaka Nacho kuitawala na kimaamuzi,
KWA UCHACHE SANA TUZINGATIE
WAZAZ wetu wa zamani NDOA zao nyingi zilidumu sana na mpaka Leo wengine tunawaona wapo wanadunda na NDOA zao NI kwasababu MMOJA
Wanawake wengi wazamani walikuwa na utii SANA KWA wanaume,Leo HII mwanamke wa Leo hata ukimfokea NI tatizo tayar,sasa mwanamke kama huyu wa nini,???ukimwelekeza AU kumpa maaigizo AU kumfundisha tayar kashanuna,Hii NI shida ya kizaz hiki,DAIMA NAWAMBIA SUALA LA UTAWALA LINASUMBUA FAMILIA NYINGI SANA,NA NDICHO CHANZO KIKUBWA SANA KWAKUWA KAMA UNAMPENDA MUME WAKO BASI UTAMWESHIMU,UTAMSIKILIZA,UTAMTII NA KUWA MNYENYEKEVU NA KUILINDA NDOA YAKO KWA HALI YOYOTE,
WANAWAKE WA LEO AKISHAPATA PESA AU UCHUMI UKIWA JUU YA MUME BASI ANAANZA DHARAU KWA MUME WAKE,USITEGEMEE MUME ATAKUBARI KIRAHISI MAANA HILI NI SUALA LA KIROHO,(Mamlaka)
WENGI WANAOVUMILIA KUMWACHIA MAMLAKA MWANAMKE KATIKA NDOA ZAO HUISH MAISHA YAKUTOJIAMINI,YA HOFU NA KUTOJIONA KUWA NA HAKI KWA MKE...



MKINIHITAJI NITARUDI KWA UFAFANUZI ZAID,,,,,,NAWASILISHA,USIJIBU COMMENT YANGU KAMA HUNA EXPERIENCE NA MASWALA YA NDOA,KAMA UKO KWENYE UCHUMBA AU MAPENZ,PITA HIVI...WANANDOA TU HAPA..TUSAIDIANE
 
^^
Kwa mie nisie mcha Mungu ipasavyo, na sina pesa, na maarifa yangu haba.
Je, kuna tumaini lolote kweli? Au ndo nimepishana na gari la wanawake?
^^
Kama huna pesa bora uwe mcha Mungu Mkuu!!! Utapata tu wasichana
 
Nahahidi kua naye, Katika "SHIDA" na Raha. Maradhi na afya mpaka kifo kitenganishe..


Jamani Punguzeni ushauri wa kijiweni na kwenye saluni za kike.
 
Bila shaka umewahi kushuhudia au kusikia kwamba:

wanawake [wa zama hizi wakiwa wanaongoza] wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye uwezo [i.e wenye kazi nzuri, wenye fedha za kutosha, wenye mwelekeo mzuri kiuchumi na wenye akili za maisha] huku wakiwapuuza ama kuwakataa wanaume ambao "hawana mwelekeo" wa maisha mazuri.

Unajua ni kwa nini wanawake wana hulka hii?

Nitakudokezea kidogo! Ukisoma Mwanzo 2: 7-25 Utaelewa kuwa Mungu alipomuumba mwanaume alimpa vitu VINNE (4) kwa vipaumbele vifuatavyo:

Kwanza alimuumbia roho ya kuabudu;

pili akampa kazi(kutunza wanyama, kuitunza na kuihudumia bustani ya Eden kwa ajili ya chakula n.k);

Jambo la tatu akampa maarifa (Kipi cha kufanya na kipi cha kutofanya pale bustanini).

Baada ya hayo matatu ndipo akampa [jambo la nne] nalo ni msaidizi, yaani mwanamke.

Nini maana yake?

Hii ina maana kwamba Mungu alitambua kuwa ili mwanamume amudu kuishi na mwanamke pasipo matatizo anatakiwa:

1) awe na uhusiano mzuri na Mungu,

2) awe na kazi inayotosheleza mahitaji na

3) pia awe na maarifa na akili za maisha na za kumuongoza mwanamke(ambaye Mungu anamtaja kama kiumbe dhaifu).

Ndani ya kila mwanamke kuna "king'amuzi cha asili" kinachokazana "kusaerch" mwanaume mwenye vigezo hivyo vitatu.

Kwa hiyo wanaume (hasa msiooa bado) msipoteze muda kunung'unika, kulaani na kulalamika inapotokea wanawake "wakali" wanawakataa kwa sababu hamna hivyo vigezo.

Anachoangalia mwanamke ni usalama wake kiuchumi, kimaamuzi, kiroho na kihisia pindi atakapokuwa chini yako [yaani atakapokuwa mkeo] Hivyo nawashauri mhakikishe mnamtafuta Mungu kwa bidii, iweni na mitazamo, maono na mipango inayoeleweka kuhusu uchumi wenu[wa sasa na wa baadae] na tatu tieni bidii katika kujifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha:

Ndipo "VING'AMUZI" vilivyomo ndani ya "WAKE WEMA" vitawanasa mlipo pasipo ninyi kulazimika kutumia nguvu nyingi na maneno mengi.

Na kwenu wanawake; ukiolewa na mwanaume asie na sifa hizi tatu jilaumu mwenyewe!
Dah nlifikiri napendaga ela kumbe ni Biblical kabisa..
 
Back
Top Bottom