pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Wakuu habarini za Jumapili
Katika maisha yangu kuna vitu nimejaribu kuviona hasa kwa sisi wanaume ingawa sio wote. Nilishawahi kutogozwa na mwanamke kwa bahati mbaya aliniuliza kuwa una mtu, kwakweli nilimjibu sina mtu ila badaye alikuja kufahamu kuwa nilimdanganya.
Pia, kuna jamaa zangu wengi tu huwa na wapenzi wao lakini lakini wakipata demu mpya wakiulizwa swali hilo husema hawana mtu na wapo single.
Hivi kwanini sisi wanaume haturidhiki na wanawake tulionao? Nani katuroga eti kila siku tupo single!