Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Ni ngumu sana mwanamke kupata mwanaume anaekupenda. Wengi wao
Akishakugegeda anawaza kupata k mpya.
Hapo wewe mwanamke ndo ushakufa Na kuoza juu yake. Ukute tena ana kibamia cha Nazi ndo utakoma.
Ukishaona mwanaume hakutafuti kwenye simu ,mawasiliano hayapo hayapo mpaka uanze wewe jiite tu bikra kama Mimi miss .jua huna chako wacha kusumbua watu kuomba ushauri.
Na nyie wanaume mliooa wacheni kutusumbua pambaneni Na machaguo yenu huko.