Wanaume wote wakware

Wanaume wote wakware

unaposema wanaume wote wakware usimsahau na mshua wako, kaka yako, mjomba,mdogo wako wa kiume na wengineo

Generalization mbaya sana!! Jaribu kusema hata 'baadhi ya' na sio kusema wote...Kuna baadhi ya wanaume wanajiheshimu na wengineo hawajatulia...

[HASHTAG]#UsimsahauMshua[/HASHTAG]
i hate generalization more than 100%
 
i hate generalization more than 100%
wewe ndio ume generalize, uzi unahusu wanaume wakware wote...kama na wewe ni mkware basi ni mmoja wapo. kama sio inakuwashia nn
 
wewe ndio ume generalize, uzi unahusu wanaume wakware wote...kama na wewe ni mkware basi ni mmoja wapo. kama sio inakuwashia nn
hakuna kilichoniwasha but i responded to the uzi, kwamba kugeneralize mambo sio ishu kabisa.

na pili kama hukutaka turespond y imeletwa humu?

acha upuuzi fikiri kwanza.
 
hakuna kilichoniwasha but i responded to the uzi, kwamba kugeneralize mambo sio ishu kabisa.

na pili kama hukutaka turespond y imeletwa humu?

acha upuuzi fikiri kwanza.

ukisikia yalaa ujue limekupata, mbona povu limekutoka, kama nimekugusa uache uchafu huo. kunywa maji kwanza ndio uje uongee na mimi. na matusi yako peleka hukohuko kwenye ukoo wenu....mpuuzi mara 100 weeee....kichafuzi mkubwa...kinachokuneng'enesha nini sasa....
 
Na wao wanawake wapunguze tamaa wachape kazi na wajijengee tabia ya self independent. Tatizo la wadada wa kibongo wanapenda sana maisha ya maganda ya ndizi kuteleza.
 
Habari zenu wajameni,

Leo nataka niwape ujumbe wanaume wote wanaopenda kujisifia kula papuchi nyingi hapa duniani au kuchezea wasichana wa watu, mkae mkijua hao wadada mnao wachezea na kujisifia na mkiwadanganya wanafamilia na malengo yao pia.

Leo wewe ni kijana kesho utakua baba na utapata watoto wa kike ukae ukijua unavyowafanya watoto wa kike leo na wewe wa kwako atakujafanywa hivyohivyo. What goes around comes back around.

The way una respect wanawake leo ndivyo uzazi wako utaheshimika na kua na maendeleo, mfano wewe baba uliekuwa na tabia mbovu ujanani utashangaa mwanao yuko form two kapigwa mimba inabidi ujiulize enzi zako uliwafanya vipi watoto wa watu?

Tujifunze kuheshimu wasichana, hawa ni mama zetu wa baadae.
Hata kama hutawala wako wataliwa
 
Hiyo ni coincidence, unaweza usiwale kabisa afu watoto wako wakaliwa ile mbaya...kwani na wao hawasikii starehe ya ngono. Ingekuwa inauma wasingekuwa wanagawa papuchi
tena mpaka 0712 zitamegwa kama sio zao
 
Back
Top Bottom