Na ndiyo maana mpaka leo hajapata. Kuolewa sio sawa na kupiga selfie umebinua mdomo.Yaani miss natafuta wanaume sijui walikufanya nini!! Sio kwa chuki hizo.
Na ndiyo maana mpaka leo hajapata. Kuolewa sio sawa na kupiga selfie umebinua mdomo.Yaani miss natafuta wanaume sijui walikufanya nini!! Sio kwa chuki hizo.
Habari Zenu wajameni, Leo nataka niwape ujumbe wanaume wote wanaopenda kujisifia kula papuchi nyingi hapa duniani au kuchezea wasichana za watu, mkae mkijua hao wadada mnao wachezea na kujisifia na mkiwadanganya wanafamilia na malengo yao pia. Leo wewe ni kijana kesho utakua baba na utapata watoto wa kike ukae ukijua unavowafanya watoto wa kike leo na ww wakwako atakuja fanywa hivohivo. What goes around comes back around. The way una respect wanawake leo ndivo uzazi wako utaheshimika na kua na maendeleo..mfano ww baba uliekua na tabia mbovu ujanani utashangaa mwanao yiko form two kapigwa mimba inabidi ujiulize enzi zako uliwafanya vp watt wa watu? Tujifunze kuheshimu wasichana, hawa ni mama Zetu wabaadae.
Hahaha mkuu umetishaUSHAURI
kama we unaamua kula papuchi kula sana tu maana kuhusu uzazi wetu hatujui kuna uwezekano Sheikh akazaa kahaba au shoga Upande wa pili Kahaba akazaa Padri/sheikh nk
Mwanamke anaelalamika ujue amegegedwa akitegemea kitu flan ila ikabuma na ameliwaSio lazima
UKIJA KUKOSA MTOTO USILAUMUMi nakula tu hadi nafikisha umri nimeshagonga wengi sana.kwa tarifa sihitaji mtoto
SINA TIME NA VIBAMIA VYENU MIMI.Nani Kamuudhi Miss Natafuta !
Duh si ulinipotezea wewe au Inakuwaje tena Huna time! hebu njoo members only tuzevezane... sio kuhusu BamiaSINA TIME NA VIBAMIA VYENU MIMI.
SINA TIME NA VIBAMIA VYENU MIMI.
Mi nawaongelea wanaume wenye tabia hizo waacheNawe utakuwa umepigwa sound ukaliwa sio bure
Naongelea reality sio suala la kukutwaMtoa mada yamekukuta tayari siyo bure
Pamoja na yeye kama ni me. Ila mbona lawama kwa wanaume tu. Kwani wao hawazisomeshi kilometa?unaposema wanaume wote wakware usimsahau na mshua wako, kaka yako, mjomba,mdogo wako wa kiume na wengineo
Generalization mbaya sana!! Jaribu kusema hata 'baadhi ya' na sio kusema wote...Kuna baadhi ya wanaume wanajiheshimu na wengineo hawajatulia...
[HASHTAG]#UsimsahauMshua[/HASHTAG]
utakua umefanya jambo la mbolea sana.Ngoja nikawaombe radhi nilowasaliti.
USHAURI
kama we unaamua kula papuchi kula sana tu maana kuhusu uzazi wetu hatujui kuna uwezekano Sheikh akazaa kahaba au shoga Upande wa pili Kahaba akazaa Padri/sheikh nk