ili ujue mpenz wako(girl friend) au mkeo ujue anakupenda ungependa akufanyie nn?
hilo swali lingekuwa poa kwa wanaume wa kizungu, wanaume wa kiafrika wanabadilika kama "tabia nchi"
anipe t.i.g.o.
(i'm just joking)
mimi mzungu mkwe, au umesahau? Halafu, wewe unafanya nini huku saa hizi. Kupika je?Unataka kuniambia nawe mkwe wangu unabadilika kama tabia nchi?