Wanaume wote ni waaminifu!!!!!!

Wanaume wote ni waaminifu!!!!!!

e10f9bfc6b560c64602cfdf78116d574.jpg
Neno hilo la mwisho limekosewa spelling. Neno hilo ni 'Wazinifu"
 
Wanaume wote ni watu wenye VICHWA VIWILI ila anayeongozwa na kichwa cha chini, huwa mzinzi kupindukia.
 
wanaume wote ni nyegez uncontrolled
Tunawapenda sana kuliko hata mnavyofikiria.
Tunagharamika sana, pengine tunajitolea kubeba mpaka jukumu la wazazi.
Ila baada ya kupata mlichotaka mnatuacha solemba.
Hapo ndipo usaliti na kulipa kisasi wa wanaume unapoanzia.
Mwanaume ukimtibua, huwa anakuwa km kichaaa.
Hata mm nina maumivu yaliyosababishwa na mwanamke mwenzio. Mnasubiria muda muafaka ufike tu atalia sana, kwa sbb nampenda na anajua hivyo na anatambua siwezi kumuacha, ngoja moyo uzoee kwanza, sbb nikimuacha sasa hiv moyo utaumia sana. Nyie mkipendwa huwa mnakuwa na dharau sana

Ngoja muda ufike tu, Atanichukia km Miss Natafuta anavyomchukia Ex boy friend wake.
 
very sorry
 
Back
Top Bottom