Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Lazma kungekua na njia mbadala
Hapo ukamerun ndio ungeshika hatam tu!
Lazma kungekua na njia mbadala
Usitake ncheke mie, kwaani Adam alitoka wapi? Au alizaliwa na Eva? nini!!
basi na mimi naenda pluto.!!! acha nkajinafasi uko..
Dunia bila wanawake sio dunia, ni ukiwa m2pu, hata Mungu alijua hlo ndo maana aliona yote ni mema ila kuna kaupungufu flani hv, adam alikuwa mpweke, analima anamlimia nani? Anachuma maua anamchumia nani? Ana2ma sms kwa nani..kwa simba au tembo? Teh! Women are there to fill gaps in men's lyf! Kataa bisha, dunia bila wanawake si ki2! Gnite wote!
ukirudi kwa wanamme wenzio unakuwa kama mkoma
sehemu zote zilizo-protrude zimekatika
ah lazima mtu ka charminglady au madame b atanipm tu.. mim tena
Yani ningekuwa na namba yako ya simu ningekurushia vocha ya 10,000.
Yani uko Exellent kabisa.
Hata humu Jf,
Bila wanawake mnafikiri mngeleteana umwamba jukwaani...???
kwahiyo nyie mnaweza kusurvive bila wanaume.!?? Ata humu jf na nyie mnataka kupigana sema tunazisitili tu pm zenu...
basi na mimi naenda pluto.!!! acha nkajinafasi uko..
basi na mimi naenda pluto.!!! acha nkajinafasi uko..
NDIOO!!!
Tunaweza ku-survive bila wanaume.
Afu wewe Junior. Cuxnakuangalia tu.
We bado mtoto wa Mama,hii mada haikuhusu,lala huko waachie wenye nguvu kama za Simba wajibu...!!!
Nani apigane na mwenzie kisa Nyie?
Si Ntaenda kuishi Uingereza!!!!
Heheheee, hadi ufike huku PLUTO tutakuwa tumezeeka wote, si hakuna kuzalianda banaaa, lol
aisee tiketi zinakatwa wapi ka vipi twenzetu wote huko mwana