mswati wa tz
Member
- Nov 5, 2014
- 34
- 16
Dah! Kwl mmetuamulia aseee. Kein problem.Yeah.wanaringa sana.na kujipodoa podoa kwa saana
Ukifuatila sana utashangaa wewe ni mweupe au unajichubua ndivo mlivo binadamu alafu hupendi wanaume weupe sijui huo weupe wewe unautaka wa nn avatar yako inavinasaba hvo vya weupeSio ubaguzi.hata wewe nahisi kuna kitu unapenza zaidi.vikiwekwa viwili kwa pamoja
Hapana mkuu, najitunza sana ujuwe[emoji12]Mkuu inaelekea umefunua funua sana eee!!!
Hatujasemea shughuli japo wamesifiwa kweli kwenye hiyo secta wapo vizuri. Ni kaupendo tuKwani weusi c melanin 2 hiyo mi sioni kama eti rangi ndo ina detamine shughuli kha! No scientific explanation on that.[emoji53][emoji53][emoji53]
SawaSawa tumekusikia unachopenda wewe
sawa.Haya umesema ww.Ukifuatila sana utashangaa wewe ni mweupe au unajichubua ndivo mlivo binadamu alafu hupendi wanaume weupe sijui huo weupe wewe unautaka wa nn avatar yako inavinasaba hvo vya weupe
Sijawahi shindwana na mtu yoyote na wala sina ugomvi na mtu yoyote yule...Dah! Kwl mmetuamulia aseee. Kein problem.
Ila nadhani una ugomvi binafsi unatuunganjsha wote. Una mtazamo hasi kisa umeshindwana nao. Even though hawajakulazmisha uwapende inaezkana huna cha kuwavtia
Sijawahi zinguana na mtuuuu yoyoteeeeeBinafsi naona kama wewe ni mhanga wa kuwahi kutoka na mtu mweupe akakuzingua, ila wapo wenye kujali na kupenda kweli kingine ni kutokujiamini kwa wanawake wengi hasa wanapokuwa na watu wa aina hiyo, wanahisi hawatodum nao au wanachipuka kwa namna mmoja au nyingine..sawa na wanaume wengi wanapokuwa na woga wa kuoa wanawake warembo kwa kuhofia kutokuwa na uaminifu ndani ya ndoa..lakini ukweli utabaki pale pale kuringa au kuto kuringa ni tabia ya mtu, sema wachache wanaweza kuathiri mtazamo wetu..
Kuna wanaume weusi ni wazurii,kuna maji ya kunde ni wazuri,pia kuna weupe pee nao ni wazurii tu .inategemea tu na izuri wa mtu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]I love black men jamani mimi uwiiiiih. . Yani mwanaume akiwa mweupe naona kama ana mapungufu
Black men wana msisimko wake jamani tuacheni utani.Mimi mwanaume mweupe hanisisimui kabisa
Oooh kumbe!!me napenda weusi yaan