Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

Binti kiziwi kama nakujua hivii.....

Ila hata mm napenda mwanamke rangi ya chocolate...hatari sana
 
Viva black [emoji41] [emoji123]
 


Weka picha mkuu.
 
Huu uzi Jamani,, pana jamaa mwenye amekuwa na right skin color ati kwa kunywa maji mengi eti na kushinda kwenye kiooo.

Sijjui yuko hii mitaa iitwayo tollywood au bungemovies au bongomovies,, mtasababisha apoteze mwelekeo!!

Maana, alikuwa na vigezo vilivyotajwa hapa ili hadi sasa hana tena vigezo viwe vya black, au right skin color
 
Kumbe ndyo maana mtoto wa kiarabu alidata kwa mniga hapa. Alfu kbya zaid wanawake weupe sana huwa naawachoka mapema sana.
Mi mwenyewe napenda black na awe kanyoa kiduku.
 
Njoo niko mimi mweusi tii ka nimepinduka na gari la kiwi kudadadek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…