Goku 255
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 440
- 849
Mimi n mweupe,ila baba ndio mweus mchaga wa kilimanjaro.Ila mama mzungu kutokea israel,mim mwenyewe nmechukua asili ya mama yangu.Uwez ukasema nnasil ya kiafrika.Weng hapa dar wananiita mwarab,ila cpend kudharau watu weus kwa maan n watu kama wengine.Mbn mama hakumdharau baba,na akamua kuishi naye.ila usiseme wazungu,sema waarab maana hao na shetan hawna tofaut