fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,956
- 22,648
Umeongea point mkuuAkina dada/mama wana sehemu yao kubwa ya uhusika.. Wanalazimishia sana mimba siku hizi.
Watu mpo kwenye mahusiano miezi 15 hamjawahi ona ujauzito, ile mpo kwenye confrontation inayoonesha kila dalili ya mahusiano kushindwa, unaambiwa mimba imetungwa! Halafu unatishiwa, nitamwambia mtoto ulimkataa.