Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,339
1,834
HII ISOMWE NA WANAUME TUU

Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye mgeni pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo nyumba ni ya huyo mwanamke na watoto wake. Sio yako asilani.!

Babu yangu aliniambia kwamba mwanaume aliyeoa ni sawa Tingatinga, ambalo linatengeneza Barabara, lakini ikikamilika linabebwa juu juu kwenye Lori na kuondolewa, eti likitembea litaharibu barabara. Yani barabara ambayo Tingatinga lenyewe limeitengeneza haliruhusiwi kutembea juu yake.

Vivyo hivyo kwa mwanaume aliyeoa. Atajinyima, atajishughulisha, atajizuia kufanya anasa, atakopa, atavaa mitumba ili tu watoto wake waishi vizuri, wale vizuri na kusoma shule nzuri. Siku hizi urithi pekee uliobaki ni elimu bora kwa sababu ule wa mashamba uliisha zamani. Lakini pamoja na yote hayo, bado ukizeeka hao watoto sio wako, ni wa mama yao. Wewe watakuita "Kazee".

Watoto wakiwa na umri wa miaka 10 ndipo mama yao anaanza kuwajaza taarifa zisizovutia kuhusu wewe. Kadri wanavyokuwa ndivyo wanavyoelezwa mambo mengi. Wakifika utu uzima atawaambia "isingekua mimi msingesoma, yeye alikua ni pombe tu na wanawake" Ukisikia hivyo ujue tingatinga limemaliza kazi yake sasa linakaribia kuondolewa barabarani.

Watoto wanapoanza kazi, mzee anakua amestaafu. Wanapokuja kutembelea wazazi, wakiondoka wanampa baba elfu 5 mbele ya mama. Halafu wanaenda jikoni na mama, wanampa hela nyingi zaidi kwa siri bila mzee kujua. Wakiondoka mama anamfuata mzee na kumwambia sukari imeisha. Hivyo ni suala la mzee kuamua kutoa ile elfu 5 aliyoachiwa na watoto ikanunue sukari, au anywe chai isiyo na sukari. Hii ni moja ya sababu inayowafanya wazee kufa mapema baada ya kustaafu na kuacha wake zao Wajane.

Nimeshuhudia wazazi wenye watoto ng'ambo wakimchukua mama yao akafurahie maisha majuu, na kumuacha baba yao nyumbani akilisha Ng'ombe wao wawili, na kutafuta chakula cha kuku.!

Wanaume work hard and save something for yourself at old age. Tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka dont expect too much from them. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.

"Hii ni siri wewe ukiwa kama mwanaume usiache kuusambaza ujumbee huu na wanaume wenzako waone.
 
HII ISOMWE NA WANAUME TUU

emoji871.png

"Hii ni siri wewe ukiwa kama mwanaume usiache kuusambaza ujumbee huu na wanaume wenzako waone
.
Wanawake wengi ni vyanzo vya malezi mabovu ya watoto na huwaga wanahisi wao ndo watakua wa mwisho kufa ataanza kufa mzee
 
Sasa tuambie wewe uwekezaji ambao ni safi na salama kwa mzee mstaafu, uwekezaji ambao hauta mletea presha tuambie ni nini.

Usipo sema then wewe ndio badili mindset yako.
Hata nyumba pia inaweza kukuletea presha kama umejenga bila mpango maalumu, sio kila wenye nyumba zinawalipa. Inategemea umejenga nyumba ya aina gani na umejenga wapi. Kuzika Mamilioni ya Pesa kwenye nyumba ambayo Rent haizidi laki 3 kwa mwezi ni Upumbavu na kukosa akili.
 
Nimetania tu mzee hawezi kufanya hayo anyway tuambie business gani mzee wa kipato Cha Kati awekeze ambayo sio pasua kichwa maana biashara ya magari itamuua kbs mapema
Kinachozungumziwa hapa ni uwekezaji ambao unaanza nao sasa ukiwa kijana ili baadae ukijazeeka ukusaidie kukulipa nasio usubiri umezeeka na ndio uanze uwekezaji. Watu wengi wanakimbilia kujenga Nyumba lkn wanasahau nyumba ili ikulipe vizuri inachangiwa sana ma sehemu nyumba ilipo na aina ya nyumba yenyewe pia.
 
Elimu tunasema ni urithi miaka inapozidi kwenda watu wengi wanaweke vyeti kwenye makabati.
 
Back
Top Bottom