Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Joyce Kiria hajafikia umri wa kuwa mama mkwe halafu mwanae awe anachunwa live huku yeye akishuhudia live.
Watu kama yeye ndio ambao huwa wanahamia kwenye nyumba za watoto wao wa kiume ili wafuatilie maisha yao na akisikia mwanae kajengea wakwe zake anaweza kunywa sumu. Anaongea tu kwa sababu nae anajichukulia kuwa ni kundi la wanawake vijana wanaotegemea handouts za wanaume ila umri ukienda,na uhalisia wa maisha uki_kick in,ndipo atakapoanza kufanya mambo kinyume na anayosema sasa.
 
Haloooooooooo ya FREE P.

hIVI KWANZA unaanzaje anazaje kushusha kufuli hela hujaionaaa? Mmmmmhh! Kugawa bure nacho kipaji.

Kuliko kufiribwa firibwa BUREEEEEEE si bora tu UTUBU UMRUDIE MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUOKOE NA KUKUBARIKI. Bure utoe na moto uchomwe khaaaaaaa!
Lara naona hapo kiria kakugusa kweli kweli hadi Leo umeamua kulog in..ila ni kweli jamani mwanaume pesa sio kuning'iniza boli
 
Yaani hizi comments zinaniongezea tu siku za kuishi kwakutanua mbavu.... Ligi tamu sana hii
Hahaha wanatokwa na mapovu bure honestly, tukifanya sensa kutafuta familia ambazo mwanamke ndo anahudumia 100%, tutashangaa mbona. Ila mkute huyo mwanamke nje sasa anavyobrag, hubby kanifanyia this, hubby that, kumbe hubby yupo busy kuwekeza kwa michepuko mwee
 
Shiii usiwastue ngoja tuendelee kusoma utam wa ligi... Wengine si ajabu wanang'ata meno teh
 
Joyce amesema anachokitazamia so kuna viwango ambavyo kila mtu anavihitaji lakini mimi naamini katika kuvintunza nilivyo navyo ili vinitunze
 
Hizi page zote ni hii thread moja au thread zimeunganishwa?

Mimi mtu ambaye alikosa shule huwa siwezi kumlaumu hata siku moja.

Naweza kumlaumu mtu kama Mange kwamba ni kwa nini shule haijamsaidia? laiki siyo huyu former beki tatu.
 
Hahaha wanatokwa na mapovu bure honestly, tukifanya sensa kutafuta familia ambazo mwanamke ndo anahudumia 100%, tutashangaa mbona. Ila mkute huyo mwanamke nje sasa anavyobrag, hubby kanifanyia this, hubby that, kumbe hubby yupo busy kuwekeza kwa michepuko mwee
Mmmh sijawahi kutana na wanaobrag, ila wanaolalamika tu jinsi mizigo ya familia ilivyowaelemea ilihali waume zao wapo busy na michepuko.

Cha ajabu sasa ni kwamba wao ndio wanawapa viburi hao michepuko ya kuwatusi, ila wakitukanwa akili zinaruka, lakini kujifunza walaaaa hawajifunzi.
 
Hizi page zote ni hii thread moja au thread zimeunganishwa?

Mimi mtu ambaye alikosa shule huwa siwezi kumlaumu hata siku moja.

Naweza kumlaumu mtu kama Mange kwamba ni kwa nini shule haijamsaidia? laiki siyo huyu former beki tatu.
Former beki tatu sent unamatusi aisee, ko unajaribu kisema we are rockin with former house maid
 
wanawajua vizuri kweli ,baadae mama miaka arobaini unakomaa na kakijana ka26,23 unang'ang'aniza lavu dasint ask wai.!!
Vijana wenyewe wanapenda mteremko ndio maana walaaa hawalalamiki, wanapigwa hadi makofi ila wamo tu.

Ila mwisho wa yote mwanaume jenga heshima, tafuta pesa usikae kulalamika tu na kumuona kila mtu mbaya, hamuoni wanawake walivyoamka wanavyozisaka sasa hivi.

Huyo Kiria mwenyewe halali anazisaka kweli kweli, lengo lake lilikuwa kuwatoa povu(kwa yule alomjibu na wote of the sort)na kawakamata haswaaaa.

Mwanaume simamia majukumu yako 100% mwanamke akusaidie tu, sio ndio umekaa mentality yako yoote kusaidiwa na mkeo.
 
Lakini kila mtu anaviwango vyake shida ndio ile kuchemka kuona red flag mapema inatugarimu wengi mwishoni, ila black n white kila mtu anavingo vyake.
 
Back
Top Bottom