Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,985
- 95,514
Ahsante sana lolPole, lakini umeongeza dk kadhaa kwa kucheka.
Ahsante sana lolPole, lakini umeongeza dk kadhaa kwa kucheka.
Lara naona hapo kiria kakugusa kweli kweli hadi Leo umeamua kulog in..ila ni kweli jamani mwanaume pesa sio kuning'iniza boliHaloooooooooo ya FREE P.
hIVI KWANZA unaanzaje anazaje kushusha kufuli hela hujaionaaa? Mmmmmhh! Kugawa bure nacho kipaji.
Kuliko kufiribwa firibwa BUREEEEEEE si bora tu UTUBU UMRUDIE MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUOKOE NA KUKUBARIKI. Bure utoe na moto uchomwe khaaaaaaa!
Hahaha wanatokwa na mapovu bure honestly, tukifanya sensa kutafuta familia ambazo mwanamke ndo anahudumia 100%, tutashangaa mbona. Ila mkute huyo mwanamke nje sasa anavyobrag, hubby kanifanyia this, hubby that, kumbe hubby yupo busy kuwekeza kwa michepuko mweeYaani hizi comments zinaniongezea tu siku za kuishi kwakutanua mbavu.... Ligi tamu sana hii
Shiii usiwastue ngoja tuendelee kusoma utam wa ligi... Wengine si ajabu wanang'ata meno tehHahaha wanatokwa na mapovu bure honestly, tukifanya sensa kutafuta familia ambazo mwanamke ndo anahudumia 100%, tutashangaa mbona. Ila mkute huyo mwanamke nje sasa anavyobrag, hubby kanifanyia this, hubby that, kumbe hubby yupo busy kuwekeza kwa michepuko mwee
Wengine hata usingizi hawajapata maskini+ kazi haziendi kabisa ofisini leoShiii usiwastue ngoja tuendelee kusoma utam wa ligi... Wengine si ajabu wanang'ata meno teh
wanawajua vizuri kweli ,baadae mama miaka arobaini unakomaa na kakijana ka26,23 unang'ang'aniza lavu dasint ask wai.!!Kama kina.... malizia Mkuu maana umeuaaaaa.
Baba tafuta hea maswali na majibu ndo mwanzo WA KUKOPA MAKU. Hahahaaa. Shule zenu huko huko kama alivosema Joyce kaluli mbio MKOPO HAKUNAAA, HUNA PESA PIGA PUNYETO.
Mmmh sijawahi kutana na wanaobrag, ila wanaolalamika tu jinsi mizigo ya familia ilivyowaelemea ilihali waume zao wapo busy na michepuko.Hahaha wanatokwa na mapovu bure honestly, tukifanya sensa kutafuta familia ambazo mwanamke ndo anahudumia 100%, tutashangaa mbona. Ila mkute huyo mwanamke nje sasa anavyobrag, hubby kanifanyia this, hubby that, kumbe hubby yupo busy kuwekeza kwa michepuko mwee
We ulilala mwanangu? Hebu muandalie baba yako chai mie kaninunia.Wengine hata usingizi hawajapata maskini+ kazi haziendi kabisa ofisini leo
Former beki tatu sent unamatusi aisee, ko unajaribu kisema we are rockin with former house maidHizi page zote ni hii thread moja au thread zimeunganishwa?
Mimi mtu ambaye alikosa shule huwa siwezi kumlaumu hata siku moja.
Naweza kumlaumu mtu kama Mange kwamba ni kwa nini shule haijamsaidia? laiki siyo huyu former beki tatu.
Unadulterated hogwash from a certified simpleton.
Vijana wenyewe wanapenda mteremko ndio maana walaaa hawalalamiki, wanapigwa hadi makofi ila wamo tu.wanawajua vizuri kweli ,baadae mama miaka arobaini unakomaa na kakijana ka26,23 unang'ang'aniza lavu dasint ask wai.!!
Haha nimelala murua, nacheka tu Joyce anavyowatoa watu mapovu makusudicallyWe ulilala mwanangu? Hebu muandalie baba yako chai mie kaninunia.