Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Bill Gates wenyewe aliacha shule aliona Shule ungese tu. Mike wa facebook nae aliona shule umaku u akaachilia mbali, huyo wa whats up nae hivo hivo aliona ni kuchoshana tu. WAKINGA WANGAPI HAWAJUI HATA KUANDIKA MAJINA YAO WANA MILIKI GHOROFA HATA 10.

WASOMI WASIPOBADILIKA HAPA BONGO WATAKUFA MASIKINI KILA LEO. Kabisaa UNAJINADI NA CHETI AMBACHO NI KARATASI TU HATA KUKOPEA LAKI UPEWI.

Nenda ka google tena Bill Gates alirudi shule kumalizia Degree yake ya Law Harvard.
 
Bill Gates wenyewe aliacha shule aliona Shule ungese tu. Mike wa facebook nae aliona shule umaku u akaachilia mbali, huyo wa whats up nae hivo hivo aliona ni kuchoshana tu. WAKINGA WANGAPI HAWAJUI HATA KUANDIKA MAJINA YAO WANA MILIKI GHOROFA HATA 10.

WASOMI WASIPOBADILIKA HAPA BONGO WATAKUFA MASIKINI KILA LEO. Kabisaa UNAJINADI NA CHETI AMBACHO NI KARATASI TU HATA KUKOPEA LAKI UPEWI.
Lara we kiboko mamii.
 
Tulichokuwa tunaongelea ni huyo kimada wako kwakuwa umeshaoa wewe(shame on you) unaangalia boriti za wenzio eti? Anakupiga vizinga kulingana na anavyokuona, emagine ya dera tu yamekutoka hayo yote, ya biashara si ndio ungekuwa moi sahivi maana ungekimbia uvunjike vunjike!!
Sikumshangaaa kuomba Madera nilimshangaa kila weekend ni yeye na harusi sijui sendoff sijui nn.... Ndio maana nikasema "umeenda kusoma au kuhudhuria sherehe".... Soma between lines vizuri na uwe open minded
 
Mimi ukiona nakuomba pesa ujue sikupendi na sina mpango hata wa kukaa kupiga story na wewe....!!

hivyo nakuomba pesa ili usinifuatilie na ntakula hela zako na hunipati ng'ooo.....ujinga staki mie....

Ila kuomba pesa ni kipaji kwa kweli!!
Lame excuse! Even a hooker will tell you that she is only doing it because of poverty-as if there is only one way to fight poverty.
 
Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni.... Labda anawazungumzia wanawake wa kichaga ambao mapenzi kwao ni zero...
tehe.. hao wanawake wa kichaga mapenzi wangeyajulia wapi wakati wanaolewa krismas, januari wanaachwa kijijini na mimba mume anakuja dar peke yake na hata hatumi hela kwa mkewe kwa sababu kijijini kamuachia shamba la kahawa na migomba na ng'ombe? Ukiona kuna wanawake wana hasira wana mengi mioyoni.
 
We una sh ngapi? Hali ngumu Magu kabana. Goli ngapi? Venue wapi? Kama nje ya nchi nitakupunguzia kidogo manake si unajua tena naconsider bata utalonipa prior the deal. KAMA OFFER YAKO NI WORSE OFF HAPA NILIPO, NASIKITIKA KUKWAMBIA SITOKUBALI KUCHOMWA MOTO WA MILELE KIBOYA. LOL!
Hujajibu swali lara 1 zaidi ya kuandika maneno meeeengi.

Ya Kwako unauza shilingi ngapi?
 
Hana lolote huyu..ukahaba tu unamsumbua,kama anataka pesa akakeshe casino maana huko ndipo atapata ela zote anataka. Najisikia aibu sana kusikia/kukuona mwanamke mzima anaandika hizi non sense, ameaibisha mama zetu Wa ki Afrika.
 
Ndio uwezo wa Kufikiri kwa hawa dada zetu umeishia hapo! Kama mapenzi ni pesa muwe mnaweka price tag kabisa Ili mtu akija ajue jinsi ya kujipanga.
 
Shule kuzeeshana tu na kwenda kupatwa kwa akili kwa kuambiwa INGIA SAA ASUBUHI, TOKA SAA 11 KILA SIKU KWA SIKU HIZO 22, KWA MWAKA MZIMA USUBIRIE ASANTE BOSS UNDER $500 AFU JIONE BABUKUBWA KWA WENZIO. COLONIALISM AT ITS BEST.

Ndo maana warabu na wahindi hawasomi sana wala nini washaona ni upimbi.

Sasa wewe hio hela ya jasho under $500 UTAIHONGA VIPI KWA MFANO UMEISOTEA SIKU 22. FANYA UFANYAVYO HAIZIDI HAPO $500. Hahahaaaaaaaaa.
Asante mkuu.
 
Wanawake wanadharirishwa alafu wao wanafurahia sana tu kwa utumbo huu,Natoa wito kwa wanaume wenzangu kuanza nae huyu kiria kwani amesema mwanaume ili upate papuchi unatakiwa uwe na pesa ndani na hata nje ya ndoa na hii ni dalili kuwa Joy yuko tayari kugegedwa na BOSS wa mume wake kwani mume wake ulipwa na boss wake ambaye yuko vizuri kipesa.Boss wa mume wa KIRIA ,JOYCE anakuhitaji kwa hamu sana wewe baba ukampe hizo mbili zinazoning'inia azinyonye.
Nilikuwa nasikia tu wanawake wanajiuza JKiria leo amenithibitishia kuwa hata yeye hatongozwi bali ukimtaka MUONESHE misimbazi tu.
Unaelewa na kuchukua kile akili yako inatoshana nayo, kwanini usipate hasira ya kuzisaka ili hizo fedheha zisikukute? Sifa kuu ya mwanaume ni provider, then protector......., sasa sidhani hapo kwenye kuprovide kama utaprovide kengele tu.

Cha msingi we zisake pesa, tena zisake haswaaaaa, hata ukisoma post za hivi unaishia kucheka tu na sio kughafirika.
 
Back
Top Bottom