PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Kweli mkuu watu wanapigwa balaa!Mkuu finally umeamua kuwasemea wahanga wengi wa hili. Kuongezeka kwa social networks imewafanya wanawake wabuni njia mpya ya kujiingizia fedha bila usumbufu na ukata huu we acha tu, mbumbumbu wa mapenzi wanaliwa sana. Ukienda badoo, tango, bongo five, facebook na mingineyo kumtongoza demu na kukubaliwa ni kawaida sana ila jiandae kutolewa fedha kupitia njia ya nauli ili akufuate ulipo hahaha[emoji3]
Inawezekana. Nilimshangaa mbona ana njaa sana! Mafuta ya kwenye vitz tu shida!Huyo aliazima gari mkuu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee kuna mmoja alinambia kabisa nimuwekee full tank kwenye vitz ndo aje.
Kama ushawahi mkata jipime kama ulitoa dozi ya kutosha au ulimchafua tu!Je ukiwa ulishamkata, na anataka nauli harafu hakuja hapo inakaaje?
Mi nafikiria mfumo mzuri akope aje aliwe harafu alipwe
Yaani hapo unawaomba wanaume 10 nauli na wote wanatuma buku 10... Daah raha sanaMkuu finally umeamua kuwasemea wahanga wengi wa hili. Kuongezeka kwa social networks imewafanya wanawake wabuni njia mpya ya kujiingizia fedha bila usumbufu na ukata huu we acha tu, mbumbumbu wa mapenzi wanaliwa sana. Ukienda badoo, tango, bongo five, facebook na mingineyo kumtongoza demu na kukubaliwa ni kawaida sana ila jiandae kutolewa fedha kupitia njia ya nauli ili akufuate ulipo hahaha[emoji3]
Yaani nilianza patwa na hasira na hizi ra ra ra kwenye post yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweri kabisa. Hiri swara razima uwe makini. Nauri sio ya kutuma. Razima utumie akiri.
Wamekua wajanja sana rakini dawa yao ipo jikoni inachemka. Raramiko rangu ni kwamba mreta mada apunguze kutumia ra ra ra kira kwenye neno nauri..[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunasubiliKuna demu aliniomba nauli aje songea ye anakaa morogoro nilivomtumia ndio ikawa mwisho wa mawasiliano.... Ikapita miez 3 akanitafuta tena na kuleta visingizio visivo na kichwa wala miguu kisha akasema nimtumie tena saiv yuko free atakuja
ITAENDELEA
Utapigwa mkuu.natoka kudaiwa nauli hapa, nimemwambia niko ifakara nanunua mchele, yeye kasema huko huko nimtumie nauli atakuja, hii kitu ni kweli
huyo anayetaka full tank ni kwamba akija mnaanza kuogelea kwenye fuel au mnakunywa hayo mafuta!!!!!.....Weee kuna mmoja alinambia kabisa nimuwekee full tank kwenye vitz ndo aje.
Ni kweli, kuna kadada kanajiita Liz de Cute kalishanifanyia huo ujingaKama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".
Ni hayo tu.
kina dada kama hujapewa hata mia usitoe papuchiNasisutiza tena....
Kama hujamgonga usuhonge hata mia