Wanaume wenzangu msitume nauli

Alikuwa hajatoa tu
 
Januari majuz tu nilikutana na demu moja hivi kwenye field kijiji fulani hapa arusha. Dem ni mwongeaji mzuri na yuko vizuri kwa hali zote. Nikamwomba anisaidie shughuli fulan alafu jioni nikamtoa na hela kidogo. Nikasahau kuchukua namba zake, coz sikuwa na mpango wa kurudi kule. Wiki ilopita nikapangiwa tena kule kijijin kwao, moyoni nikasema nimsake yule dem ili anipe kampan na anisaidie kazi coz ni mshap sana pia nilianza kumpenda... Nilifika kijijin kwao nikamsaka nilimpata, na alinisaidia Kazi vizuri tu, sasa jion nikatupa ndoano, akanijibu kuwa atakuja mjini ili tuongee vizuri ila hana nauli. Nikamwambia ntakutumia... Nilipofika mjini nikamwomba aje na nikamtumia nauli, mda ulienda hakuja, baadae akaniambia amekwama coz alikuwa na mgonjwa hivo ile hela imetumika. Tukapanga tena siku nyingine na nikamtumia nauli tena, akaniambia amekwama tena kwasababu mamake sijui nin nin, na akamalizia kuomba hela ya vocha na soda. Mda huo huo nikakata cm akashtuka akapiga sijapokea akapiga weeee na kupiga na kupiga baadae kwa msg akaomba atakuja jioni mjini, nikajibu asihangaike tena imetosha. Jana akanitumia msg kuwa kaja, sikumjibu
 
Huyo hata mimi alinifanyia the same nikiwa Moshi na tulipanga kukutana. Yaani nilituma hela hadi basi. Nadhani atakuwa Jacline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…