Wanaume wenzangu mnakwama wapi?

Wanaume wenzangu mnakwama wapi?

Wewe hunielewi,

1. ukiongelea kuhongana, ukahaba hiyo ni biashara hakuna upendo hapo ni pay to get services vingine nichachandu tu kumduwaza mteja

2. Ukiongelea mke/mme Yaani ndoa nikitu kingine

Mada yako inaongelea sex with different females na hapo ndipo ilipo kasoro

Different females different requirements or interests likewise different mens different requirements or interests.
yote hayo ya nn....shida yangu siyo wote wapokeaji tu....hakuna kitu kama nature
 
Good, huwez kutegemea pesa umfanye mtu akupende au akufurahie.. utakuwa na pesa kiasi gani?

Anakupenda unaoa?

1. Kama huoi anakupenda kwa kipi?

2. Kama huoi utamwacha atapenda wangapi?

3. Kama huoi upendo wake kwako unamanufaa gani

a) Miezi 2 wewe

b) baadaye unamwacha miezi 6 kwa mwengine

c) baadaye anaacha miezi 7 kwa mwengine

Upendo unamaana for long-term relationship
 
Anakupenda unaoa?

1. Kama huoi anakupenda kwa kipi?

2. Kama huoi utamwacha atapenda wangapi?

3. Kama huoi upendo wake kwako unamanufaa gani

a) Miezi 2 wewe

b) baadaye unamwacha miezi 6 kwa mwengine

c) baadaye anaacha miezi 7 kwa mwengine

Upendo unamaana for long-term relationship
Nimekuelewa boss. Hapa nazungumzia waoaji na sio wapigaji na kuondoka. Hiyo huduma ya kupiga na kusepa inafahamika na wapo hao wadada, sasa muhimu mdada ajitambulishe tu wazi si mwanaume unavyoingia kwake unajua kabisa hapa ni kuchapa na kusepa, so unavyompa hela means unanunua huduma na mnakubaliana hivyo, hilo wala halina shida.
 
Hii ndio aina ya wanawake naowapenda na huwa nasisitiza jamaa zangu ndio wajihusishe nao. Personaly karibia wanawake wote niliowadate wako hivyo.

Wale mademu matonya wanipitie mbali 😂😂😂😂😂 Amen!!!
amina sana 😂😂
 
Pesa yenyewe huna unataka akuombe Nini? Anajua kabisa wewe ni apechi alolo..... Ukiwa na hela utaanza kuwaona waomba hela ndo wazuri
aisee 😳😳😂😂😂
 
Back
Top Bottom