Masikini ni tabu sana. Kwanza ndio hufundisha huo upuuzi kwa watoto. Lakini Familia za kati na matajiri huwafunza watoto wao kujitegemea bila kuomba omba hela kwa Wanaume.
Kuomba omba ni kujidhalilisha. Unaomba hela kama huna akili, huna mikono au miguu. Tafuta pesa na ndio maana tunakupeleka shule usome ili upate kazi uweze kujimudu katika maisha.
Sio kuwapa watu gharama kwa kutoa litoto lisilojua kufanya kazi. Litoto livivu. Masikini wa mali na akili.
Kwa kweli sifagilii vianamke masikini ndio maana vinaniona mimi nadharau na mimi naviambia kama ni kuomba omba pesa kwa nini nisikudharau.
Mwanamke na mwanaume ili aheshimiwe lazima ajifunze kujitegemea.
Ndio maana hata Mataifa ya Afrika yanadharaulika kwa akili za kimasikini masikini. Yaani uwe omba omba then mtu akuheshimu labda uwe umemloga. Wazungu watatudharau na kutunyanyasa mpaka tutakapo kuwa na akili.
Na mwanamke ataendelea kudharaulika na kuonekana kiumbe duni mpaka atakapoweza kujitegemea. Huwezi mdharau mwanamke au mwanaume anayejitemea.
Vilio vya kupigwa mizinga kwa wanaume vimekuwa vingi sana siku hizi, mi nabaki nashangaa tu. Mbona mi sipati hao Mademu wa mizinga kiasi cha kuona kero? Nimedate na Mademu kadhaa na wote ni classic lakin sio wapiga mizinga hata kidogo, unaweza ukakaa hata mwezi asikuombe hela, na nipo naye close sana.. means katika mwezi possible siku 20 tunalala pamoja, means anakuja kwangu na anaondokea kwangu kwenda kazini kwake. Na akija ghetto atapika, atafua, atadeki n.k
Mahusiano yangu na mabinti huisha pale ninapoamua mimi, na huwa sio rahis maana huwa hawako tayari kuvunja mahusiano. Na huwa navunja baada ya kujiridhisha baadhi ya vitu ninavyovipenda hana baada ya Kuishi naye kwa muda kadhaa,lakini sio kuombwa ombwa hela ovyo.. japo huwa natoa hela bila kuombwa ila sio kiwango cha kunifanya eti hadi nilalamike.
Nilichokuja kujifunza, ni kwamba sio kweli Wanawake wanapenda sana pesa ila ukweli ni kwamba kama hakupendi ndo labda nahisi wanaomba sana pesa, maana wanawake niliodate nao walikuwa wananipenda na of course huwa sipati kabisa huo usumbufu wa kuombwa ombwa pesa ovyo.
Pia, mwanaume ukiwa muungwana, yaani haucheat, upo smart kichwani, unajiheshimu, huna scandal, mpole na msafi. Wanawake waswahili waswahili wakuomba omba hela ovyo huwezi kuwapata, utakuwa connected na wanawake wenye akili, wenye shughuli rasmi ya kufanya na kuwaingizia pesa, wenye malezi bora kutoka kwa wazazi wao,waliosoma na kuelimika kutokana na elimu waliyoipata.. kundi hili la wanawake hata wakiumizwa wana msingi wa kuwafanya warudi kirahisi kwenye mstari.
Ila nadhani hivi vinawake vinavyopretend maisha na viko vingi sana humu JF ndo vidangaji vikubwa na vipiga mizinga.
MWANAUME MWENZANGU ACHA KUTUMIA PESA KAMA KITU CHA KUMFANYA MWANAMKE AFURAHI, MWANAMKE ANAYEKUPENDA ATAKUFURAHIA WEWE NA SIO PESA ZAKO, .
Maana kila atakapokasirika itabidi umpe pesa, una pesa kiasi hicho? Na je unajua atakasirika mara ngapi kwa siku? Kwahiyo kila atakapokasirika utampa pesa afurahi? Utaweza? Na ili asikasirike si itabidi umpe anachotaka kila anapohitaji, upo tayari kwa hilo
Masikini ni tabu sana. Kwanza ndio hufundisha huo upuuzi kwa watoto. Lakini Familia za kati na matajiri huwafunza watoto wao kujitegemea bila kuomba omba hela kwa Wanaume.
Kuomba omba ni kujidhalilisha. Unaomba hela kama huna akili, huna mikono au miguu. Tafuta pesa na ndio maana tunakupeleka shule usome ili upate kazi uweze kujimudu katika maisha.
Sio kuwapa watu gharama kwa kutoa litoto lisilojua kufanya kazi. Litoto livivu. Masikini wa mali na akili.
Kwa kweli sifagilii vianamke masikini ndio maana vinaniona mimi nadharau na mimi naviambia kama ni kuomba omba pesa kwa nini nisikudharau.
Mwanamke na mwanaume ili aheshimiwe lazima ajifunze kujitegemea.
Ndio maana hata Mataifa ya Afrika yanadharaulika kwa akili za kimasikini masikini. Yaani uwe omba omba then mtu akuheshimu labda uwe umemloga. Wazungu watatudharau na kutunyanyasa mpaka tutakapo kuwa na akili.
Na mwanamke ataendelea kudharaulika na kuonekana kiumbe duni mpaka atakapoweza kujitegemea. Huwezi mdharau mwanamke au mwanaume anayejitemea.
Ungekuwa mwanafunzi wangu you don't deserve even a supplementary wa kudisco tu
This thread si not about wife and husband
Is not about looking after someone to marry
Read between the lines then understand the content
Hii ni thread ya ukahaba for both male and female
How to convince a partner for either free sex or buy it or relatively both