Wanaume wenzangu kuweni wakweli

Joined
Aug 9, 2018
Posts
95
Reaction score
294
Washikaji mnapojieleza kwa marafiki zenu wa kike /wachumba jaribun kuwa wakweli usijiite Manager ilihali si kweli Utaumbuka siku si zako.Kuwa mkweli tuu kwa Nia njema acha kuigiza[emoji13] mdada anakuuomba sh 10,000/= Manager unaanza kigugumizi[emoji23][emoji23]
 
Wewe uko upande upi? Au ndo ninyi akina delishazi!?
 
[emoji23]Ajabu ukiwaambia ukweli hawataki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hawa wadada wengine bila kuwadanganya huwezi kung'oa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Wanalazimisha kudanganywa sometimes..
 
Siyo kwa dunia ya sasa ambayo ukiwa muongo ndo unaonekana mjanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…