Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

Kabisa

Ikitokea mume kawa Jobless kwenye ndoa tutahandle sababu hiyo ni changamoto kama nyingine tu na inavumilika ila sio kupimana kwenye uchumba

Huo mtihani aliompa sio kabisa
Hakuna mwanamke wa kuweza kuvumilia huo utopolo!

Yaan katikati ya uchumba unaniletea storeee za nimesimamishwa kazi? Lazima nilale mbele, maisha magumu jamani khaa!

Hili jaribu ni gumu jamani kulikwepa
 
No matter what, ukiwa garasa in garasa tu, sio nikiwa na hela unakenua meno mpaka pengo la mwisho huko, nikikosa unavuta domo na story hauna, kwani unakuja kutumia pesa zangu tu au unakuja tufanye maisha?
Mfanye maisha yapi? We si ndo unaoa au?
 
Hii lazima nitakuja kuifanya halafu nione yaliyomo yamo au laaa...kuna manzi mmoja nilimwambia mimi nataka niache kazi huyu akarukia "aaah usiache hio kazi kama kuna vitu unataka uvifanye niache nivifanye mimi" kumuuliza kwani nikiwa sina kazi na nikafanya hivyo vitu tofauti itakua wapi hakua na jibu...
Kama bado unampenda siku ukimtamkia huna kazi ujue utampoteza!

Hili nakwambia in advance
 
Mtego huu sitauingia kamwe! (In Kabudiz voice)
Yaani nioe tu mwanamke yeyote bila kujali tabia zake kwa kuwa tu, nataka watoto? Big nooooo!
Nimefanya na nitafanya tena na tena na tena mpaka nimpàte atakaye-fit kwenye situations zote, siwezi kuoa jitu linalowaza kula hela zangu tu, zikiisha lisepe au linidharau, never on earth!
Haaaahaaaha

We huna hela una visenti tu mwenye hela hawazi hizi trial and error
 
Mbona ni mtihani mwepesi sana, tumetambulishana pande zote mbili, mwenzako amepata challenge kidogo tu unampandishia vioo??
Haumpokelei simu, haujibu texts zake, na kejeli juu (kwamba "wewe hautakuwa wa kwanza kudhalilika") hii kauli ni nzito sana kwangu, sanaaa!
We ulishamchoka huyu demu, sema ulikuwa unatafuta justification
 
Hivi na huyo mkeo angebadili namba akutamanishe kukupa utamu usingeingia king???? Hakuna mwanamke yupo tayari kuvumilia shida hata ukapata mmoja atakuvumilia kwa muda mfupi tu...
Na hata wa kuvumilia atavumilia kwa muda tu... that's true statement!

Hakuna mwanamke wa kuvumilia shida asee

Siku nikitulia ntawaletea kisa cha uncle angu kabisa na mkewe mtacheka mfe
 
Ndio maana nasema kile kiapo pale kanisani kiondolewe ni uongo mtu lidada linashika bibble linaapa nitakuwa nawe kwa shida na raha wakati moyoni anajua ukifilisika tu ATAKIMBIA.... UKIUMWA MDA MREFU ATAKUKIMBIA. wachungaji toeni kile kipengele mwanamke asikiape WANAMDHIHAKI MUNGU TU PALE. sababu ukweli ni kwamba ukiishiwa Utatombewa atakutukana atakudharau Hakuna rangi utaacha kuona. Na ndio maana ukiwa na pesa usiwe na mwanamke MMOJA na wote wajuane
Wanawake hawanaga wivu wewe...sema huwaga wanajifanyisha tu, ili zile hela unazomhonga usimpe mwanamke mwingine

So hakuna cha kukomoa hapo
 
"Hivi Hushangai Napendwa, Ila Sura Bado Inakosa Nuru, Yaani Najiona Sipo Huru, Napagwa, Siku Zinavyozidi Kwenda, Najiona kabisa ntakufuru, Maana Naishi Ka Kunguru, Kutwa Kuzificha Mbawa, Riziki yangu ya papatu papatu, Mara nilipe Vikoba Upatu, Vipi Ukija Kutamani Vya Watu? Mimi si utaniacha?
Koh koh koh...jeshiiii

Utunzi umeenda shule sana huu.
 
Hahahaaa, hapo test sio uaminifu hata, sikumkuta na bikra so najua alishaliwa vizuri tu, issue ni ananipenda kweli au yupo kwa kutimiza malengo yake pekee?

Nawezaje kuishi na mtu ambaye kwa kukosa kazi mwezi mmoja tu( tena wa maigizo), amebadilika na kuniona sina maana, anani-treat kama kijitu flani hivi, itakuwaje siku ikiwa kweli nipo kwenye hard time, si ntajifia kwa stress na upweke...

Nasema hivi, nitawajaribu kwa mbinu mbali mbali mpaka nimpate atakayenifaa!
Hutampata! Hii nakuhakikishia

Sana sana utamkumbuka hata huyu unayemuacha, utaona ana nafuu
 
Siku ukijua kuwa maisha ni Dynamic utakuja kuelewa kwanini kuwa na mke flexible kuna matter sana kuliko mke anayekupenda ukiwa na hela tu.

Endelea na demu wako unayemdanganja na hio jezi ya Exim Bank kifuani. Siku ukiliwa kichwa ofisini ukaenda benchi ndio utajua hujui.
Haaahaaahaaa
 
Na hata wa kuvumilia atavumilia kwa muda tu... that's true statement!

Hakuna mwanamke wa kuvumilia shida asee

Siku nikitulia ntawaletea kisa cha uncle angu kabisa na mkewe mtacheks mfe
Kuna kuvumilia shida halafu kuna changamoto za kimaisha. Shida ziko kila sehemu tu yani ni constant.

Changamoto ni tatizo ambalo ni la muda na linaweza kutatulika with proper approaches. Ila ikitokea changamoto ni ya muda mrefu ndio inageuka kuwa shida sasa..😀😀😀

Sasa ubaya wanawake wanakimbiaga changamoto za maisha. Yani akishapiga hesabu akaona hii ngoma italeta shida badae anasepetuka chap ila huo ni usaliti.
 
Back
Top Bottom