Wanaume wenzangu hii ni ukweli au?

Wanaume wenzangu hii ni ukweli au?

Nilimaanisha kuna wengine hawalali!!! Yaani wao ndo hawachoki aua game inakua iko hovyooo?
Jinsi umri unavyoenda ndio mwili nao unazidi kuchoka. Mwanaume wa 20s ana tofauti na yule wa 30s, vivyo hivyo kwa yule wa 40s na 50s. Personal experience; sex in my 20s was more enjoyable than now in my 30s, nowadays I easily get exhausted..
 
Samak.mkunje angali mbichi

kama ulizoea kumpa hela
Af leo unajifanys kulala haa
Haa hakuna ktu aisee
Wanawake n moto wa kuotea
Mbali wakat wa kuitishs pesa
 
Jinsi umri unavyoenda ndio mwili nao unazidi kuchoka. Mwanaume wa 20s ana tofauti na yule wa 30s, vivyo hivyo kwa yule wa 40s na 50s. Personal experience; sex in my 20s was more enjoyable than now in my 30s, nowadays I easily get exhausted..
Kuumbe!!! Coz sijawai kutana na huyo wa kulala! Dakika mbili tu anaanza kunisumbua
 
Duh ina maana hata story kidogo hamna??.. hiyo relation vip?

nadhan ingekua frsh baada ya tendo bas mkaoge au mpige story kidogo mawil matatu ndo mlale tena wote sio mmoja kumuacha mwenzake...

Otherwise kuna kitu hakipo sawa...

Me napita tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom