Wanaume wenzangu hii ikoje

Kwa kweli... Ila mi nataka nijue! Hivi mwanamke unaweza kucheat na bado ukawa unampenda mtu wako? Tofauti na huyo ulocheat nae!! Au nyie cheating ikoje kwakina dada?
 
Sio
Shida sio kashindwa kuja nifanye nae uzinzi no. Shida kaja nilipo afu kashindwa kuja kwangu japo kuniona!! Na last seen December
 
Hii wala hukuhitaji kuuliza. Wachana nae alikuweka wa akiba. You deserve better..
 
Tatizo la wanaume wengi wa kileo ni waoga wa maisha na wanataka kujifananisha na wanawake
Lile neno tuishi nao kwa akili linamaana kubwa sana ila wengi wa wanaume hawajui jinsi ya kuishi nao kwa akili
 
Tatizo la wanaume wengi wa kileo ni waoga wa maisha na wanataka kujifananisha na wanawake
Lile neno tuishi nao kwa akili linamaana kubwa sana ila wengi wa wanaume hawajui jinsi ya kuishi nao kwa akili
Fafanua kidogo hoja yako Kama Ina mashiko.
 
Kwa kweli... Ila mi nataka nijue! Hivi mwanamke unaweza kucheat na bado ukawa unampenda mtu wako? Tofauti na huyo ulocheat nae!! Au nyie cheating ikoje kwakina dada?
Kwa wengine sijui ila kwangu navyoelewa mapenzi yanakua yameisha. Wanawake sio wepesi kucheat kama tulipenda kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauhakika au ni hisia mkuu hivi unajua akili za wanawake
Kwa 90% ni Tru. Maana alisema yuko na mwenzake wanafanya kazi ofisi moja .
Nikawaambia waje walale home asubui ndo waende. . Kwangu mbaka stand ni dkika 10 tu hakuna umbali wa kutosha kumfanya ashidwe kuja hata basi kuniona tu afu andoke.
 
Sasa case yako mbona ndogo mkuu.. Mimi juzi tu nimewapa mkasa wa mwanamke niliepanga kumuoa nimekuta picha zake za uchi group la Telegram akinadi kujiuza
😲😲😲😲😲Mtume.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…